HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ya leo hii hapaNi kweli, inategemeana na Graphic ni ya mwezi gani. Zinabadilika kila siku. Nia yangu ni kwenye Meli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya leo hii hapaNi kweli, inategemeana na Graphic ni ya mwezi gani. Zinabadilika kila siku. Nia yangu ni kwenye Meli
Hii haina Ships. Wanaupdate kutokana na trophyYa leo hii hapa View attachment 2410362
Hahahaaa! Utadhani anachapwa paka aliyedokoa dagaa 😆 😆Putin anaufyata kwa rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan
View attachment 2410254
Kha! Kama Kambale aliyevuliwa na kesha kufa anasubiri kukunjwa tu halafu abanikwe kesho aingie sokoni -tayari ni kitoweo. Ila wamekufa ni wengi aisee.
Karkhiv Isha kombolewa yote.afu Ukraine Haija shupaza shingo inachotaka taratibu za umoja wa Mataifa zifatwe pia ipo tarayati Kwa mazungumzo ila Russia itoe wanajeshi wake Ukraine.tatizo lipo wap hapo mkuu?Wewe figganigga unatakiwa kuomba kazi ofisi za ccm makao makuu kitengo cha propaganda. Maana akili zako ni kama za marehemu Tambwe aliyenunuliwa kwa bei ya peremende toka CUF na kupewa kitengo cha propaganda na ccm.
Yeye tambwe alikuwa wa hovyo kweli maana mambo yaliyo dhahiri anayapinga kwa hoja dhaifu.
Unajaza mapicha na mavideo ya one sided wakati kiukweli Ukraine wamepata hasara mara tatu zaidi ya warussia. Sababu ni kuwa vita inapiganwa ndani ya ardhi yao. Vifo kwa raia, wanajeshi, ni mara 3 zaidi ya waliokufa kwa upande wa russia ambao wengi ni wanajeshi.
Ukraine wanatoa takwimu za zaidi ya wanajeshi 65000 wa russia wameuliwa. Wakati russia walipeleka jumla ya askari 150k. Kwa hii takwimu ni kwamba nusu ya idadi ya wanajeshi wameuliwa tangu february. Endelea na propaganda mkuu, ila ukweli utajulikana.
FYI Ukraine haiwezi kuwa kama ilivyokuwa mwezi february kabla ya uvamizi wa russia. Zile sehemu za donbass, kherson,Zaporozhizhya, tayari zimeshakuwa sehemu ya russia federation. Zele akiendelea kushupaza shingo ataipoteza pia kharkhiv na Odessa.
Ni data za mwezi wa sabaFigures zako zinatofautiana na zinazotolewa na Serikali ya Ukraine hasa kwenye watu waloikufa
Ndio maana tunatakiwa kuwaheshimu sana wanajeshi e.g. Hapa Tz ni JWTZ kwani wao huenda huko Frontline (Hatarini - killing zone) kwa niaba yetu, wanajitolea maisha yao(Uhai) kwa niaba yetu - Tuwaheshimu na tuwapende hao waliojitoa muhanga kutetea mustakabali wa Uhai wetu.Wakuu, Frontline sio kuzuri wala sio sehemu ya kuomba kufika. Unacheka na rafiki yako unaenda kukojoa na ukirudi unamkuta hahemi. Kufa dakika Sifuri. Kuishi ni kudra za Mungu.. Ila kunaingia kiza na kunakucha mapambano yanaendelea
View attachment 2410744View attachment 2410745View attachment 2410746View attachment 2410747View attachment 2410748View attachment 2410749View attachment 2410750View attachment 2410751
"........Russia itoe wanajeshi wake Ukraine.tatizo lipo wap hapo mkuu?"Karkhiv Isha kombolewa yote.afu Ukraine Haija shupaza shingo inachotaka taratibu za umoja wa Mataifa zifatwe pia ipo tarayati Kwa mazungumzo ila Russia itoe wanajeshi wake Ukraine.tatizo lipo wap hapo mkuu?
.View attachment 2407565
Kwa hisani ya Aljazeera.com
Hiyo ya lini mkuu? Mpya hii hapa
July. Hii mpya hawajaweka Meli.Hiyo ya lini mkuu? Mpya hii hapaView attachment 2410791
Sio tatizo.. Ndani ya Mikoa 28 ya Ukriane, Urusi iliteka mikoa 13, hii wamebaki na mikoa minne tu. Tatizo silioni. Kama tuliwafurumusha mikoa 9, hata hii tutaweza. Ukraine ilikuwa nchi ya amani. Crimea wakawachia Urusi bila vita mwaka 2014, Urusi wakanogewa sasa wanataka mikoa 5. Tutafia hapo na hawatachukua kituView attachment 2407565
Kwa hisani ya Aljazeera.com
Slava Ukraine [emoji1255]Colonel Serhiy Cherevaty wa Ukraine upande wa Mashariki, amesema wameua Warusi 100 leo huko Bakhmut. Ni chanzo changu cha kuaminika
View attachment 2409541
Hahahaaa mpk rahaUrusi na Ubabe wake wote, anaiogopa uturuki. Juzi Urusi ilijifanya kuzuia Nafaka, uturuki ikapeleka Meli nza Ulinzi zikasindikiza Meli za mizigo ya Mazao kutoka Ukraine, urusi wakaufyata. Kuna Meli mbili za kivita zilikuwa zinakuja Ukraine kushambulia, akazikataza kwenye bahari yake na kuzishikilia tangu 2 Februari 2022 hadi leo amezishikilia. Sababu alisema meli isiende mbele wala kurudi nyuma hadi ajiue zimebeba nini. Leo Novemba ndo kaziachilia kwa kusema Zilirudi zilipotoka urusi vinginevyo zitalipuliwa. Zimerudi kweli.. Kweli uturuki ni noma.. Zilikuwa zinatokea Vladivostok Urusi, amewaambia asizone tena Black sea
View attachment 2410220View attachment 2410222
Kwa kuweka records sawa. Mkoa wa Kharkiv bado haujakombolewa woteKarkhiv Isha kombolewa yote.afu Ukraine Haija shupaza shingo inachotaka taratibu za umoja wa Mataifa zifatwe pia ipo tarayati Kwa mazungumzo ila Russia itoe wanajeshi wake Ukraine.tatizo lipo wap hapo mkuu?
Hiyo ya lini mkuu? Mpya hii hapaView attachment 2410791