Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine wamesema wanamobilize Mbu laki tatu. Ambao watasambazwa kwa kutumia drone thidi ya maadui. Mbu watakuwa na Uwezo wa kunyong'onyesha adui atakayeng'atwa na kumfanya aishiwe nguvu kwani ni Mbu waliobeba maradhi. Ukraine inaanza vita ya Kibailojia. Wanajeshi wamesha fundishwa na Tangazo kimetolewa
 
Ukiacha Mbu, pia wana Nyuki ambao wamefundishwa Mambo ya Vita.. Kwahiyo inategemeana na Wakati na Sehemu. Hapa ni Nyuki wa Ukraine waliofundishwa kutengeneza nembo ya Taifa la Ukraine. Jeshi la Nyuki
Your browser is not able to display this video.

Nembo ya Ukraine.
 
Ukiachilia mbali Mbu na Nyuki, Ukraine wamefundisha Popo.. Ambao nao wapo tayari kwa Vita. Wapo Popo wa Kutosha. Ila kwa sasa watatumia Mbu zaidi ya 300,000. Watalenga sehemu Maalum ambazo zimeshaainishwa. Mbu wenye njaa haswa
 
Ila wamechagua na wanajua kufa kupa kutokana na uchaguzi wao.

Uzalendo hutokea endapo nchi imevamiwa
 
Na hiyo mikoa hawajaichukua yote, kuna sehemu nyingi bado mapigano yanaendelea
 
very dangerous,hio sio plague ya dunia imeannza hivo???
 
....Watakuwa selective kwa Russians tu?
 
Sijaelewa hao mbu watapewa maradhi maalumu ya kumyong'onyesha adui au ni mbu tu hawahawa?na je kwa sheria za kimataifa inaruhusiwa?
 
Sijaelewa hao mbu watapewa maradhi maalumu ya kumyong'onyesha adui au ni mbu tu hawahawa?na je kwa sheria za kimataifa inaruhusiwa?
Hawa ni Mbu wametengenezwa maabara. Mbu, nyuki, Popo na ndege wadogo wadogo, wote wametengenezwa maabara. Wamefundishwa mambo mengi ya kivita. Mimi sijawahi shuhudia Mbu wa kutumwa wakiwa frontline. Tusubiri tuone..
 
Kwisha sisi Tena hayo maumbu yafike Afrika!💀Kuna mengine ya aina yako Nakuru Kenya sehemu flani,yakikushambulia yanaacha mayai baada ya siku moja unaanza kutokeza minyongororo yanatambaa kwa ngozi unaliwa hai Kama cancer🙈sijui ilikuwa experiment ya hao mabeberu??waaah dunia hatari!!!
 
Hawa ni Mbu wametengenezwa maabara. Mbu, nyuki, Popo na ndege wadogo wadogo, wote wametengenezwa maabara. Wamefundishwa mambo mengi ya kivita. Mimi sijawahi shuhudia Mbu wa kutumwa wakiwa frontline. Tusubiri tuone..
Ok, asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…