Yes! kwanza oangezewe kipondo kikali zaidi ili awahi kwenye meza ya mazungumzo na kukubaliana na masharti husika i.e. kwanza aondoshe wanajeshi wake wote kutoka kwenye ardhi ya Ukraine ndipo lomoni' (mazungumzo) yatawezekana. Tofauti na hapo acha Mtanange uendelee kama kawa.Urusi kasema yuko tayari kwa Mazungumzo
We bhana wee! Mrussi aseme asemacho cjui ni for good will au ni for Gods sake au ni for good health blaa-blaa, Shit! Sisi tunachojua ni kwamba Mrussi kafurumushwa, kabamizwa, katwangwa, kapewa kipondo hadi kasalimu amri. Hayo maneno mengine ni siasa-mfu tu hayasaidii chochote. Aondoke - full stop.Kwa hizi Kauli za Warusi, muda si mrefu mtasikia tunaiachia Kherson for good Wil. Leo Urusi Wamepigwa kama ngoma🤣🤣🤣
View attachment 2411599
Hatari sana.Kwisha sisi Tena hayo maumbu yafike Afrika![emoji88]Kuna mengine ya aina yako Nakuru Kenya sehemu flani,yakikushambulia yanaacha mayai baada ya siku moja unaanza kutokeza minyongororo yanatambaa kwa ngozi unaliwa hai Kama cancer[emoji85]sijui ilikuwa experiment ya hao mabeberu??waaah dunia hatari!!!
kabisaaah💀✅Hatari sana.
Slava Ukraine [emoji1255]Ukiachilia mbali Mbu na Nyuki, Ukraine wamefundisha Popo.. Ambao nao wapo tayari kwa Vita. Wapo Popo wa Kutosha. Ila kwa sasa watatumia Mbu zaidi ya 300,000. Watalenga sehemu Maalum ambazo zimeshaainishwa. Mbu wenye njaa haswa
View attachment 2411156
Huu ucje kua mtego kiongoziMwana propaganda Sasha Kots, anasema bye Kherson. Karudishwa kwao au Urusi wameondoka?
View attachment 2411712
Amini Jeshi. Wana mafunzoHuu ucje kua mtego kiongozi
Jeshi linajua na limeshaelekezwa na raisHuu ucje kua mtego kiongozi
Ila hii picha ushawahi ipost humuWamekufa 18. Aliyekufa ni yule alokataa kujisalimisha
View attachment 2411744
Kwani kurudia kupost picha ya Warusi waliokufa ni dhambi? Mbona kama tunapangiana cha kupost?Ila hii picha ushawahi ipost humu