figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #8,381
Bucha ilipiga resistance moja ya kufa mtuYaani hata tukiwaua vipi Warusi, haiwezi kufuta kumbukumbu chinja chinja waliyoifanya Urusi kule Yablonska Street Bucha Mkoani Kyiv. Baada ya kushindwa kuingia Mjini na viongozi wao wakuu kuuliwa, Wakaanza kuua kila mtu wanayekutana naye. Mbwa, ng'ombe binadamu kama kulipiza kisasi. Waliaminishwa Ukraine ni shamba la Bibi wakaingia kichwa kichwa, eti wakataka waingie mji mkuu kama vile nchi haina mwenye. Tukawafyeka wote. Wakati wanaretreat kwa aibu, ndo wakawa wanaua watu ovyo. Iliniuma sana tangia siku hiyo nawachukia Warusi na Wafuasi wao. Hata mtoto wa Mrusi maweza mpa sumu. Ni kizazi cha kuteketezwa, hakifai kuishi duniani. Hii ya Bucha ndo chanzo cha Warusi kuanza kufa, Mara ya kwanza walikuwa wanaogopwa kumbe moto wa mabua
View attachment 2412169View attachment 2412170View attachment 2412175View attachment 2412177
View attachment 2412163
View attachment 2412162
View attachment 2412158
Wana discuss wakiwa wapole kweli. Utadhani wako msibani. 😂😂😂😂Propagandists wa Urusi wana hali ngumu ya kupiga propaganda kuutuliza Umma wao baada ya kukimbia Kherson.
View attachment 2412114
Nahisi hayo mahandaki yatatosha kuwa makaburi yao. 😁 😀Warusi wameanza kuchimba Mahandaki Crimea
View attachment 2411898View attachment 2411899View attachment 2411900
Oh! Mkuu; Toka huko porini broo. Warussi weusi wa Jf cku hizi wamekuwa wakimyaa na wapole sana utadhani wapo kwa kinyozi. Matusi yao yamewaishia kama Warussi OG wa Kherson walivoishiwa silaha na chakula sasa wamebaki kukimbia-kimbia wanadai eti wanaretreat kwa Amri ya mkubwa wao na ni "on Good will". Shenzi kabisa.Warusi weusi walituaminisha hii ngoma inahitaji only 72 hours kuchukua Ukraine yote, miezi tisa almost hata kilometa moja hawajavuka na ukiangalia ramani kumbe hata hawajavuka Kherson, hii ni aibu sana kwa Putin, warusi weusi mje mtubu hapa vita mmeshindwa na mkicheza wanaume wataichukua Crimea na kuanza mwendo kueleka Moscow, nime mdharau sana Putin na warusi weusi wa JF
Ndio; ili watembee haraka zaidi kuwahi kwao kabla ya mvua hazijawazidia. Jinga sana wale.Ilipaswa wanapogeuka kuelekea kwao huku nyuma wanasindikizwa na mvua ya mabomu pamoja na risasi
Huyu mwamba anawatoa berenge Warussi -hawana hamu.Valerii Zaluzhnyi, iron general, commander-in-chief of the Armed Forces of Ukraine
View attachment 2411968
It seems to be a trap, intelligent info confirmed that there are no signs of Russia troops to move out of the city. Some are staying at resident houses.Pro Urusi watatuambia nini mtandaoni kama kweli Urusi ikiretreat kutoka Kherson. Walipiga kura wakasema wananchi wamewachagua kwa 99%. Leo wanawaacha Wananchi wenyewe jamani🤣🤣🤣. Urusi wa kwa mpalange wataficha wapi sura zao
View attachment 2411782
Kwani ukiangalia move ukaipenda, kuna ubaya ukiangalia siku nyingine. Post na wewe uliyo post juzi.Ila hii picha ushawahi ipost humu
Watakuwa wanasingizia kuwa kafa kwa ajali ya gari (car crash). Lazima wanaume watakuwa wamemlipua akiwa ndani ya gari lake. Mungu ni mwema sana huwa hakopeshi watu kama hawa huwa anawalipa cash.Kirill Stremousov, Naibu Mkuu wa Mkoa wa Kherson amefariki. Huu ni mwakilishi wa Urusi. Msaliti
View attachment 2411543
Anavyobembeleza kwa marekani imshawishi Rais wa Ukraine akubali wakae mezani wayamaliza, utadhani si Putin aliyekuwa jeuri. Kashaanza kutepeta.[emoji1][emoji1][emoji1]mazungumzo hakuna mpaka atoke wanajeshi wake. Otherwise mbungi ipigwe tu
Anatamani aondoke ila sasa itakua fedheha ku bwa. Huko Kherson hali si hali[emoji2][emoji2][emoji2]Anavyobembeleza kwa marekani imshawishi Rais wa Ukraine akubali wakae mezani wayamaliza, utadhani si Putin aliyekuwa jeuri. Kashaanza kutepeta.
Kutokuwa na stock ya kutosha ya silaha (stock level) na uwezo wake wa kuzalisha silaha (production capacity) anaona giza mbele.
Akichutama atakuwa muungwana kuliko kukaza fuvu, mwisho ataaibika sana.