Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi weusi walituaminisha hii ngoma inahitaji only 72 hours kuchukua Ukraine yote, miezi tisa almost hata kilometa moja hawajavuka na ukiangalia ramani kumbe hata hawajavuka Kherson, hii ni aibu sana kwa Putin, warusi weusi mje mtubu hapa vita mmeshindwa na mkicheza wanaume wataichukua Crimea na kuanza mwendo kueleka Moscow, nime mdharau sana Putin na warusi weusi wa JF
 
Good morning
20221110_090622.jpg
 
Yaani hata tukiwaua vipi Warusi, haiwezi kufuta kumbukumbu chinja chinja waliyoifanya Urusi kule Yablonska Street Bucha Mkoani Kyiv. Baada ya kushindwa kuingia Mjini na viongozi wao wakuu kuuliwa, Wakaanza kuua kila mtu wanayekutana naye. Mbwa, ng'ombe binadamu kama kulipiza kisasi. Waliaminishwa Ukraine ni shamba la Bibi wakaingia kichwa kichwa, eti wakataka waingie mji mkuu kama vile nchi haina mwenye. Tukawafyeka wote. Wakati wanaretreat kwa aibu, ndo wakawa wanaua watu ovyo. Iliniuma sana tangia siku hiyo nawachukia Warusi na Wafuasi wao. Hata mtoto wa Mrusi maweza mpa sumu. Ni kizazi cha kuteketezwa, hakifai kuishi duniani. Hii ya Bucha ndo chanzo cha Warusi kuanza kufa, Mara ya kwanza walikuwa wanaogopwa kumbe moto wa mabua
View attachment 2412169View attachment 2412170View attachment 2412175View attachment 2412177
View attachment 2412163
View attachment 2412162
View attachment 2412158
Bucha ilipiga resistance moja ya kufa mtu
 
Warusi weusi walituaminisha hii ngoma inahitaji only 72 hours kuchukua Ukraine yote, miezi tisa almost hata kilometa moja hawajavuka na ukiangalia ramani kumbe hata hawajavuka Kherson, hii ni aibu sana kwa Putin, warusi weusi mje mtubu hapa vita mmeshindwa na mkicheza wanaume wataichukua Crimea na kuanza mwendo kueleka Moscow, nime mdharau sana Putin na warusi weusi wa JF
Oh! Mkuu; Toka huko porini broo. Warussi weusi wa Jf cku hizi wamekuwa wakimyaa na wapole sana utadhani wapo kwa kinyozi. Matusi yao yamewaishia kama Warussi OG wa Kherson walivoishiwa silaha na chakula sasa wamebaki kukimbia-kimbia wanadai eti wanaretreat kwa Amri ya mkubwa wao na ni "on Good will". Shenzi kabisa.
 
Pro Urusi watatuambia nini mtandaoni kama kweli Urusi ikiretreat kutoka Kherson. Walipiga kura wakasema wananchi wamewachagua kwa 99%. Leo wanawaacha Wananchi wenyewe jamani🤣🤣🤣. Urusi wa kwa mpalange wataficha wapi sura zao
View attachment 2411782
It seems to be a trap, intelligent info confirmed that there are no signs of Russia troops to move out of the city. Some are staying at resident houses.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]mazungumzo hakuna mpaka atoke wanajeshi wake. Otherwise mbungi ipigwe tu
Anavyobembeleza kwa marekani imshawishi Rais wa Ukraine akubali wakae mezani wayamaliza, utadhani si Putin aliyekuwa jeuri. Kashaanza kutepeta.

Kutokuwa na stock ya kutosha ya silaha (stock level) na uwezo wake wa kuzalisha silaha (production capacity) anaona giza mbele.

Akichutama atakuwa muungwana kuliko kukaza fuvu, mwisho ataaibika sana.
 
Anatamani aondoke ila sasa itakua fedheha ku bwa. Huko Kherson hali si hali[emoji2][emoji2][emoji2]

West wakikomaa kumpa suport mtu huwezi shindana nao.
 
Back
Top Bottom