Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii bendera kubwa ilionekana Machi kipindi Urusi inavamia Ukraine. Wakazuia Msafara wa vifaru vya Urusi kwa Maandamano.

Hapa ilikuwa Machi 2022 kipindi Urusi inavamia huu mji wa Kherson
Your browser is not able to display this video.
 
Ila hawa washenzi watakuwa wamejiandaa kuuharibu mji wa Kherson kwa makombora. Itabidi NASAMS au IRIS-T iweze ku cover eneo hilo.
Hawa Wanajeshi wamefundishwa. Wanajua wanachokifanya. Kwanza Wanajeshi wa Ukraine huwatishi na Missiles, walishazoea. Unadhani Maeneo yaliyokombolewa Urusi ni rahisi kuyarudisha?

Hawa wameforciwa kuondoka. Sio hyali yao, wamekufa sana. Jeshi linaishiwa chakula, maji, Silaha, risasi, Maghala yote HIMARS Imeyamaliza. Watakosa kuondoka? Adui muombee njaa, atanyosha mikono juu hata kama alikuwa Shujaa.

Kazi nzuri ya Wanajeshi waliotoka mafunzoni Uingereza. Si bahati mbaya
 
Ndo maana Urusi anawachukia Azov. Ni moto chini. Wametakiwa kwenda Kherson leo saa kumi Alfajiri. Hadi saa kumi jioni wameshafika bila kujali mabomu yalotegwa. Wana njia zao. Kikosi Maalum kilifika Mjini kati Kherson saa saba Usiku wa leo
 
Wanaume wakiwa wanaingia Mjini Kherson. Nawapenda sana Azov. Mbele kwa mbele. Sipati picha siku wakiingia Mariupol kwao. Halafu wameenda na magari madogo tu, sio Vifaru wala nini
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…