figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,521
Kumbe ile bendera kubwa Kherson waliihifadhi!? Ilionekana wakati Urusi wanavamia Kherson na Leo wameitoa nje tena🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina maana eastern bank of Dnipro river kwa maana mkoa wa Kherson wote. Maana hata Ukraine ni lazima waikomboe kwanza Zaporizhzhia kwanza ndo wataikomboa kherson yote.Kherson hakuna njia tena wala hakuna kinachokuja. Daraja wamebomoa wenyewe
Wananchi wa Kherson leo wamepata raha sana. 😂😂😂😂Kumbe ile bendera kubwa Kherson waliihifadhi!? Leo wameitoa nje tena🤣🤣🤣
View attachment 2413600
Jinsi walivyo na amsha amsha, leo hawalali, ni kama Donbas tu..Wananchi wa Kherson leo wamepata raha sana. 😂😂😂😂
Hata wajukuu wa kirusi watasimuliwa kuhusu shughuli ya HIMARS au game changer.Silaha ambayo imeacha historia ya heshima sana .
Hizi chuma ni balaa la kufa mmasai
Ila hawa washenzi watakuwa wamejiandaa kuuharibu mji wa Kherson kwa makombora. Itabidi NASAMS au IRIS-T iweze ku cover eneo hilo.Jinsi walivyo na amsha amsha, leo hawalali, ni kama Donbas tu..
Hawa Wanajeshi wamefundishwa. Wanajua wanachokifanya. Kwanza Wanajeshi wa Ukraine huwatishi na Missiles, walishazoea. Unadhani Maeneo yaliyokombolewa Urusi ni rahisi kuyarudisha?Ila hawa washenzi watakuwa wamejiandaa kuuharibu mji wa Kherson kwa makombora. Itabidi NASAMS au IRIS-T iweze ku cover eneo hilo.
Lockheed martin wajiandae kuziuza sana hiziSilaha ambayo imeacha historia ya heshima sana .
Hizi chuma ni balaa la kufa mmasai