Na binadamu huyo inependeza zaidi hususan akiwa ni Mrussi.Walishasema wamefundishwa kuua na bunduki zimetengenezwa kuua binadamu
Confirmed. Lukashenko ametangazaBado haijawa rasmi, ni kwamba waziri wa mambo ya nje wa Belarus Vladimir Makei, amefariki dunia🤣🤣
Hii Dunia jamani. Na mbwembwe. Zote za kuisifia Urusi🤣
View attachment 2428220
Yanafanyikia katikati ya Urusi, sio Uwanja wa Vita. Wanarekodi propaganda. Watajiteka na wengine kujisalimisha. Ni propaganda za vita kuwalaghai wananchi wa Urusi. Juzi putin alikaa kwa chai na wazazi wa wanajeshi walio Ukriane lakini chai hakunywa🤣🤣Labda watakuwa wanataka watumie bendera za Ukraine ktk magari yao ili kuviconfuse vikosi vya Ukraine
😱😳Putin kashaanza kujutia Ugaidi wake. Anajuta kuivamia Ukriane. Hakujua hakujua
View attachment 2428440
Kazi kama kazi. 🏃♂️🏃♂️🏃♂️💪Angalia mahandaki ya Ukraine yanavyojengwa zigzag ya kufa mtu. Then wanapewa mazoezi ya kuyatumia
View attachment 2428455
Roho yake Putin haijatulia ndani mwake, na haitatulia hadi hapo atakapothubutu kuisitisha vita aliyoianzisha kijeuri. Damu isiyo na hatia inayomwagika ya Waukraine na Warussi ndugu zake inamlilia daima kwani hapakuwepo na sababu za kimsingi za kuanzisha vita hiyo. Dhambi hiyo itaendelea kumuuma daima dumu.
Proved hata viongozi wa serikali ya Marekani hawana taarifa za usahihi za hii Vita,because some of the sources are American leaders themselves!lee van cliff mohamedidrisa789 1954 Bukyanagandi Mathanzua na pro Russia wengine...
jikiteni kwenye huu uzi mpate taarifa za uhakika kuhusu huu mzozo kutoka vyanzo huru vya habari kuliko kukumbatia habari kutoka vyanzo vinavyounga mkono huu uvamizi kama RT, Sputnik na nyinginezo za mrengo huo.
MK254 kp kipanya44 Jackal dudus Nyamizi
Washaiva. Ni marubani hao wote 10. Wanapewa maujanja tuSafi sana. hapo ndo wameivatayari ili kutoa kichapo kwa Mrussi au bado?