Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Labda watakuwa wanataka watumie bendera za Ukraine ktk magari yao ili kuviconfuse vikosi vya Ukraine
Yanafanyikia katikati ya Urusi, sio Uwanja wa Vita. Wanarekodi propaganda. Watajiteka na wengine kujisalimisha. Ni propaganda za vita kuwalaghai wananchi wa Urusi. Juzi putin alikaa kwa chai na wazazi wa wanajeshi walio Ukriane lakini chai hakunywa🤣🤣
 
Huyu ni afisa usalama alijifanya mzazi wa Mwanajeshi aliyefia Ukraine
20221126_215813.jpg
20221126_215955.jpg
20221126_215959.jpg
 
Roho yake Putin haijatulia ndani mwake, na haitatulia hadi hapo atakapothubutu kuisitisha vita aliyoianzisha kijeuri. Damu isiyo na hatia inayomwagika ya Waukraine na Warussi ndugu zake inamlilia daima kwani hapakuwepo na sababu za kimsingi za kuanzisha vita hiyo. Dhambi hiyo itaendelea kumuuma daima dumu.
 
lee van cliff mohamedidrisa789 1954 Bukyanagandi Mathanzua na pro Russia wengine...

jikiteni kwenye huu uzi mpate taarifa za uhakika kuhusu huu mzozo kutoka vyanzo huru vya habari kuliko kukumbatia habari kutoka vyanzo vinavyounga mkono huu uvamizi kama RT, Sputnik na nyinginezo za mrengo huo.
MK254 kp kipanya44 Jackal dudus Nyamizi
Proved hata viongozi wa serikali ya Marekani hawana taarifa za usahihi za hii Vita,because some of the sources are American leaders themselves!

Na hiyo Sputnik unayo ongelea mimi I have never quoted it.Even though Sputnik,RT ni bora kuliko Mockingbird Media sources kama the CNN,BBC,Aljazeera,SkyNews,Fox,CNBC,dubious sources like the Sun etc.

Let me tell you Proved,my sources are independent sources 100% reliable and have no conflict of interest in the War,
kinachoangaliwa ni truth.

Kinacho sumbua hapa ni kwamba sources ninazotumia ni sumbua kichwa,pole sana.Anyway nitaendelea kutesa kambi yako,get prepared for more.
 
Back
Top Bottom