uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Mungu awajalie kupona haraka warudi kaziniHospitali inayotibu Frontline wa Ukraine huko Bakhmut ilijaa Majeruhu kwani mapigano yalikuwa ya kufa kupona.
View attachment 2452369View attachment 2452370View attachment 2452371View attachment 2452372
Jamaa ana confidence 120% aisee kujitokeza frontline huko sio mchezo sijui anaenda na usafiri gani ?Rais Zelensky akiwa Mitaa ya Bakhmut kujionea uharibifu uliosababishwa na Urusi
View attachment 2452705
Anawapa motisha sana na nguvu wapiganaji. He is a Good Leader to Lead people.Mheshimiwa Rais wa Ukraine Zelensky, leo ametembelea wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline Bakhmut.
View attachment 2452691
Haogopi jamaa, maana Bakhmut ni moja ya eneo hatari kwa kiongozi mkubwa kama huyo kwenda wakati huu, pamoja na kwamba jamaa wamefurushwa.Jamaa ana confidence 120% aisee kujitokeza frontline huko sio mchezo sijui anaenda na usafiri gani ?
Slava Ukraine [emoji1255]Vifaru vya Ukraine vikiwa vinaingia center ya Bakhmut jana
View attachment 2452354
Hii ni hatare mnoooHuyu ni Mateka wa Jeshi la Urus anaitwa Ivan Gubadulin, aka "Guba" kutoka kikosi cha 25th brigade amekamatiwa Viunga vya Bakhmut. Picha za Wanajeshi waliokutwa kwenye simu yake, amesema ni kutoka Belarusi. Belarusi wanamsaidia Urusi. Belarusi ni jirani wa Ukraine Upande wa kaskazini
View attachment 2452358
Slava Ukraine [emoji1255]Mheshimiwa Rais wa Ukraine Zelensky, leo ametembelea wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline Bakhmut.
View attachment 2452691
Slava Ukraine [emoji1255]Rais Zelensky akiwa Mitaa ya Bakhmut kujionea uharibifu uliosababishwa na Urusi
View attachment 2452705
Nadhani ndipo walipochimbia matunguli yao pale.Warusi wanaitakia nini Bakhmut, mbona wanaweka fight kubwa sana pale?
Mbabe (Putin) yupo uvunguni mwa kitanda chake pale Kremlin anapokea Taarifa na kutoa maelekezo kwa kutumia simu janja. Hathubutu na hajawahi kufika Frontline kama huyu shujaa wetu tangu vita ianze. πͺ Slava UkraineMheshimiwa Rais wa Ukraine Zelensky, leo ametembelea wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline Bakhmut.
View attachment 2452691
Kusikia kwa kenge ni damu masikioni.Urusi hawaamini. Bomba la gesi limekwenda na majiππ. Kuichokoza Ukraine ni kinipalia Mkaa
View attachment 2453016
Na bado wataitaka na roho yake mpuuzi huyo.Super power wa makaratasi anaipata
Russia, Belarus, Iran na Wagner groupπ³Teketea kabisa putini na kundi lakoooo
Intelijensia ya Ukraine ni hatari ni ya kiwango cha juu hivi kwamba hakuna nzi atakaye weza kumgusa halafu akabaki salama.Jamaa ana confidence 120% aisee kujitokeza frontline huko sio mchezo sijui anaenda na usafiri gani ?
Ndio maana tunasema kwamba Zele ni Rais wa watu wake kweli na sio kama huyo Fashisti Putin ambaye hata kwenda uani kwa sasa ni mtihani -hatoki ndani na amewatelekeza askari wake wanaokaangwa kama popcorn.Haogopi jamaa, maana Bakhmut ni moja ya eneo hatari kwa kiongozi mkubwa kama huyo kwenda wakati huu, pamoja na kwamba jamaa wamefurushwa.
Wote hao peleka motoniRussia, Belarus, Iran na Wagner groupπ³
Hoyeee. Aisee; Safi kabisa SLAVA UKRAINESu-25 attack aircraft ya Urusi imekwemda na maji
View attachment 2453949
Slava Ukraine [emoji1255]Su-25 attack aircraft ya Urusi imekwemda na maji
View attachment 2453949