Wamejiongeza fasta (wamesepa) kwani kichapo kinachotarajiwa kutolewa hapo sio cha kawaidaKuna dalili njema za Ukraine kuikomboa Svatove. Urusi imewakimbiza viongozi vibaraka wa Svatotve na kuwapeleka Luhansk, hii ni kwa sababu majeshi ya Ukraine yanakaribia kuingia ktk mji huo.
Hiyo 2022 imesababishwa na nduli Putin. Wana Ukraine wanasherehekea Chrismas gizani. Dah! Mungu anamwona Putin.We acha tu.
Slava Ukraine [emoji1255]
Tupe source, ili tutetee hoja. Hoja hainogi bila kutoa source.Wanaume wameshaingia ktk viunga vya Kreminna. Warusi wakimbie au wajiandae kupewa kichapo
Hilo ni la msingi sana. Source ni muhimu. Bila source tutakuwa na mashaka.Tupe source, ili tutetee hoja. Hoja hainogi bila kutoa source.
Hii ni jhabari njema,nawaombea kwa Mungu warudishe maeneo yao yote hata yale yaliyotekwa zamaniWanaume wameshaingia ktk viunga vya Kreminna. Warusi wakimbie au wajiandae kupewa kichapo
Wanavyotembea wanaonekana wamechoka na wamekata tamaa kabisa. Jamaa kamimina chumvi katikati ya kidonda. πππ
Jamaa ni wabishi sana acha watembezewe moto. Hapo Bakhmut ningependa wafurushwe fasta.View attachment 2459550
Kundi la Wagner huko Bakhmut laishiwa silaha, laanza kutukuna wakuu wa jeshi la Urusi kuwa wamewatelekeza
View attachment 2459550
Wanaimbishwa kama watoto wa chekechea πππView attachment 2459548
Askari wa Urusi waendelea kukamatwa mateka huko East front
HIMARS ni machine hatari sana. Ikiona target inakuachia Scrapers na mishikaki. πππView attachment 2459549
Mtambo wa kudungulia ndege wa Urusi wa S-300 waharibiwa na Majeshi ya Ukraine huko East front
Hawajui kuwa supplies route imekatwa na Ukraine siyo Russia.View attachment 2459550
Kundi la Wagner huko Bakhmut laishiwa silaha, laanza kutukuna wakuu wa jeshi la Urusi kuwa wamewatelekeza
View attachment 2459550