Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mbona namuona kama Putin kwa mbali akishuhudia
Halafu leo HIMARS iliwapelekea moto Urusi.
Kashapigwa kende, anaugulia. 😂😂. Bora yeye bado anahema, wenzake tayari wameshauma magego.Basi hapa Mrusi kwa akili yake anaona kajificha Drone na anaamini hamuoni🤣🤣🤣
View attachment 2463289
Hizo machine ndo game changer. Zimeipa credit sana Ukraine & USAM270A1 ni kama HIMARS tu. Sema hii inabeba makombora mengi na haikimbii speed kubwa
View attachment 2463295
2023 Russia lazima atepete. Wanaume hawatanii walimsubiri kwenye uchochoro siku nyingi, kashanasa mwenyewe. 😂😂Biden kashapitisha bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa mwaka 2023
View attachment 2463332