Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Daaah hii muhimu kuja Ukraine kwa ss.
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Putin is a very hopeless Leader of this century. He is killing innocent people, for no good reasons, especially women and children who can not defend themselves.

He will get the Price of this war sooner.
Our Dictator uchwara killed and harassed people, but God gave him a good reward. He victimized him.
 
Naskia na kuona kuwa urusi inaripua miundo mbinu na wakati mwingine hupiga mpaka makazi ya watu wasio na hatia,swali langu kwanini ukraini nayo kisiwepo kikosi maalumu Kwa ajili ya kulipiza kisasi Kwa usawa ule ule ili mzani ubalansi,akipiga makazi ya watu ukraini nao wanapiga huko kwao yaani tunalia sote.Nafikr wakifanya hivi hii vita itaisha ndani ya wiki Moja.Piga ni kupige,ua nami niue,haribu nami niharibu.
 
Taratibu za kimataifa haziruhusu kuua raia wasio na hatia; hata ubinadamu wa kawaida tu unakataa.

Pili, wangeamua kuwa vichaa wakapiga maeneo ya raia ovyo kama Fashisti anavyofanya, itamwongezea Fashisti support within Urusi. One of the strategies kwa sasa ni kuhakikisha anatengwa sio tu na dunia, bali anachukiwa hata na watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…