kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah hii muhimu kuja Ukraine kwa ss.MGM-140 Army Tactical Missile System (ATACMS) is a surface-to-surface missile. Makombora ya Masafa mrefu. Yakifika, Urusi wataanza kuondoka wenyewe. Makombora haya yapiga shabaha kwa usahihi umbali wa km 300. Pia inaweza kutumika kwenye M270 Multiple Launch Rocket System (MLRS) na HIMARS. Lina uzito wa kg 1,670.
View attachment 2463851View attachment 2463852View attachment 2463853View attachment 2463854View attachment 2463855View attachment 2463856
Putin is a very hopeless Leader of this century. He is killing innocent people, for no good reasons, especially women and children who can not defend themselves.Amina kaka. Lau ikitokea hivyo tutamshukuru sana Mungu kwani hakuna vita nzuri hata siku moja;
Japo sina undugu na Ukraine, lakini najua thamani ya binadamu na huko wapo binadamu wenzangu kama mm. Haipendezi wakateseka kutokana na uamuzi wa mtu mmoja kuanzisha vita - kitu ambacho kingeliweza kuepukika. Inasikitisha na kuhuzunisha sana kunapokuwepo kwa vita isiyo na sababu za kimsingi. Eti sitaki jirani yangu awe rafiki na fulani. Ndicho anachadai Putin.
Taratibu za kimataifa haziruhusu kuua raia wasio na hatia; hata ubinadamu wa kawaida tu unakataa.Naskia na kuona kuwa urusi inaripua miundo mbinu na wakati mwingine hupiga mpaka makazi ya watu wasio na hatia,swali langu kwanini ukraini nayo kisiwepo kikosi maalumu Kwa ajili ya kulipiza kisasi Kwa usawa ule ule ili mzani ubalansi,akipiga makazi ya watu ukraini nao wanapiga huko kwao yaani tunalia sote.Nafikr wakifanya hivi hii vita itaisha ndani ya wiki Moja.Piga ni kupige,ua nami niue,haribu nami niharibu.
Slava Ukraine [emoji1255]Mwaka mpya umeanza vizuri. Tumeweza kuwarudisha nyumbani wapiganiji wetu 140 waliotekwa na Urusi. Wameachiliwa huru kwa kubadilishana 1:1. Karibuni sana Makamanda
View attachment 2464564