Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wagner wamekuwa wapole. Wakiamlishwa wasifie Ukraine wanafanya hata kuwatakia heri ya mwaka mpya
View attachment 2465062
Dah! Aisee; Ingekuwa ni vyema sana hao mamluki wakakaguliwa na AZOV kwanza kabla ya kupelekwa camp kuhifadhiwa. Ni wapuuzi kweli kweli.Yan unakuja kuua watu wa Ukraine ili ulipwe pesa na Mrussi. Bloody f*ckn bastards.
 
EeeENhe! Nungunungu wa Urussi nimeona wananyweshwa dawa yao humohumo kwenye mashimo yao - Safi kabisa.
Drone iliona mzigo wa kutosha. Zaidi ya vifaru 5 si haba. Huenda Russia walikuwa wameishiwa risasi wakaamua kuchimbia hivo vifaru vyao. Wanaume wakaviona vimelala usingizi wa pono. 😂😂😂
 
Drone iliona mzigo wa kutosha. Zaidi ya vifaru 5 si haba. Huenda Russia walikuwa wameishiwa risasi wakaamua kuchimbia hivo vifaru vyao. Wanaume wakaviona vimelala usingizi wa pono. 😂😂😂
..Nao bila ajizi wakavitumbua chap' 😃 😃 😃
 
Hawa ni Mobile unit wakiwinda Drone za Urusi. Leo karibia Mikoa Mitano alarm zinalia za kuashilia hatari ya uvamizi wa anga. So jamaa Wapo mzigoni. Ilikuwa inategemewa drones za adui zifike saa tani na nusu usiku. Kwenye ramani, mikoa ya alama nyekundu ndo unategemea kushambuliwa kwa drones leo Usiku. So vijana wapo tayari kupambana


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…