figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #10,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EeeENhe! Nungunungu wa Urussi nimeona wananyweshwa dawa yao humohumo kwenye mashimo yao - Safi kabisa.
Dah! Aisee; Ingekuwa ni vyema sana hao mamluki wakakaguliwa na AZOV kwanza kabla ya kupelekwa camp kuhifadhiwa. Ni wapuuzi kweli kweli.Yan unakuja kuua watu wa Ukraine ili ulipwe pesa na Mrussi. Bloody f*ckn bastards.Wagner wamekuwa wapole. Wakiamlishwa wasifie Ukraine wanafanya hata kuwatakia heri ya mwaka mpya
View attachment 2465062
Heheehe! Mun' zehe; Wanaonekana ni warembo sana lakini wakiingia mzigoni au wakikuchenjia mzee; hutaamini ni hao. Ni moto wa kuotea mbali. We muulize Mrussi atakuambia.💪🔨
Ndio. Naam ! Huyu naye ni mpiganaji mtarajiwa wa Ukraine kama bendera inavyomtambulisha.
Wamepania kumfunza Mrussi adabu na heshima ipasavyo kwa nchi yao Ukraine. Ukraine sio shamba la bibi. 💪 🔨🔨Zaidi ya mezi 10 ya Uvamizi wa Putin, hawa vijana bado wanailinda Nchi. Hawakati tamaa. Hawa ni Azov
View attachment 2465028
Drone iliona mzigo wa kutosha. Zaidi ya vifaru 5 si haba. Huenda Russia walikuwa wameishiwa risasi wakaamua kuchimbia hivo vifaru vyao. Wanaume wakaviona vimelala usingizi wa pono. 😂😂😂EeeENhe! Nungunungu wa Urussi nimeona wananyweshwa dawa yao humohumo kwenye mashimo yao - Safi kabisa.
..Nao bila ajizi wakavitumbua chap' 😃 😃 😃Drone iliona mzigo wa kutosha. Zaidi ya vifaru 5 si haba. Huenda Russia walikuwa wameishiwa risasi wakaamua kuchimbia hivo vifaru vyao. Wanaume wakaviona vimelala usingizi wa pono. 😂😂😂
Hii clip imenifungia mwaka 2022 vizuri. Wametoka kwao Russia kuja kuishi Ukraine kama nungunungu 😂😂😂
Hahaaa. Hapo jamaa, pamoja na kuweza kuongea, lakini nadhani "boxer" ilishajaa mzigo full. 😀 😀 😀Mwana itelejensia wa Urusi alipokutana na mpiganaji wa Ukraine 🤣🤣
View attachment 2465043