figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #10,021
Technology ni kitu hatari. Hapo lazima wahame kwenye mapango bila shuruti. πππ
Ukichimama Nchale, ukikimbia Mchale, ukilala nchale. ππ
... as long as Makiivka ni ardhi halali ya Ukraine; urithi walioachiwa na wahenga wao kwa ajili ya vizazi vyao ni haki kabisa kuwaua hao wavamizi wa kirusi! Mungu aendelee kuwapigania.Huko Makiivka, usiku wa mwaka mpya, mamia ya Warusi wameuawa kwa makombora ya HIMARS. Walikuwa wamekusanyoka wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto
View attachment 2466529
".........Walikuwa wamekusanyika wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto."Huko Makiivka, usiku wa mwaka mpya, mamia ya Warusi wameuawa kwa makombora ya HIMARS. Walikuwa wamekusanyika wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto
View attachment 2466529
Mungu ni mwema na ni mwenye Haki kila wakati. Haikuwa halali kabisa kwa wavamizi kufanyia sherehe hapo kwani Hapo sio kwao. Wangeenda kuifanyia sherehe hiyo huko kwao nchini Urussi au sio bwana.π³... as long as Makiivka ni ardhi halali ya Ukraine; urithi walioachiwa na wahenga wao kwa ajili ya vizazi vyao ni haki kabisa kuwaua hao wavamizi wa kirusi! Mungu aendelee kuwapigania.
Mrussi kwa ujinga wake alidhani kwamba vijana wa Ukraine wana"Hangover" ya sherehe ya mwaka mpya. Imekula kwake. Amekuta dah! vijana ndo kwanza wapo ngangari na wakamsimamia kidedea na kufanya yao kama ilivyo ada - wakayapukutishia chini mauchafu yake (drones na missile) aliyotuma.πͺπUsiku wa kuamkia leo, Majeshi ya Ukraine yameangusha na kuangamiza drones 39 aina ya "Shaheeds", "Orlans 2 na X-59 missile
View attachment 2466399
Slava Ukraine:Ukichimama Nchale, ukikimbia Mchale, ukilala nchale. ππ
Hatari sana hiki kikosi cha DRONE
Kila mara huwa nasema cheza na kitu kingine siyo HIMARS (M142) au M270. Wakiona target wanakuachia scrapers na mishikaki. Warusi wameokota mishikaki yao ya kutosha, halafu wanasema eti ni mishikaki 63 tu. πππHuko Makiivka, usiku wa mwaka mpya, mamia ya Warusi wameuawa kwa makombora ya HIMARS. Walikuwa wamekusanyika wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto
View attachment 2466529
Mhhh! Mishikaki 63 tu? Hapana aisee Haiwezekani. Wazee wa HIMARS hawafanyi kazi ndogo-ndogo hizo. Kwanza Ujue hapo Mrussi kataja 63 ambayo ni tayari imechakachuliwa. Inaweza kuwa 63.... i.e. inaweza kuwa ni 630+ Mambo ya vita hayawekwi wazi kivile kwani askari wataishiwa na morale - inakuwa ni siri ya kambi. Cha muhimu ni tujue tu kwamba ni mishikaki/mizoga mingi i.e. Wamekufa wameuawa wengi.Kila mara huwa nasema cheza na kitu kingine siyo HIMARS au M270. Wakiona target wanakuachia scrapers na mishikaki. Warusi wameokota mishikaki yao ya kutosha, halafu wanasema eti ni mishikaki 63 tu. πππ
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Huko Makiivka, usiku wa mwaka mpya, mamia ya Warusi wameuawa kwa makombora ya HIMARS. Walikuwa wamekusanyika wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto
View attachment 2466529
Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.Kila mara huwa nasema cheza na kitu kingine siyo HIMARS (M142) au M270. Wakiona target wanakuachia scrapers na mishikaki. Warusi wameokota mishikaki yao ya kutosha, halafu wanasema eti ni mishikaki 63 tu. πππ
Ukiona amesema 63, Chukua hiyo namba zidisha kwa 10π€£π€£π€£π€£. HIMARS ikimaliza kazi inasubiri majibu ya Wanaokufa kutoka Urusi
View attachment 2467341
HIMARS kapumzika zake, anasubiri kuletewa ripoti na warusi ππππ€£π€£π€£π€£. HIMARS ikimaliza kazi inasubiri majibu ya Wanaokufa kutoka Urusi
View attachment 2467341