Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Usiku wa kuamkia leo, Majeshi ya Ukraine yameangusha na kuangamiza drones 39 aina ya "Shaheeds", "Orlans 2 na X-59 missile
FlcqUwFWYAAySB-.jpg
 
Huko Makiivka, usiku wa mwaka mpya, mamia ya Warusi wameuawa kwa makombora ya HIMARS. Walikuwa wamekusanyoka wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto

View attachment 2466529
... as long as Makiivka ni ardhi halali ya Ukraine; urithi walioachiwa na wahenga wao kwa ajili ya vizazi vyao ni haki kabisa kuwaua hao wavamizi wa kirusi! Mungu aendelee kuwapigania.
 
Huko Makiivka, usiku wa mwaka mpya, mamia ya Warusi wameuawa kwa makombora ya HIMARS. Walikuwa wamekusanyika wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto

View attachment 2466529
".........Walikuwa wamekusanyika wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto."
Naam! Very nice. Hizo Zilikuwa ndo salaams sahihi kabisa za Heri ya mwaka mpya kwao. Utafanyaje sherehe kwenye ardhi isiyokuwa ya kwako tena bila kibali halali kutoka kwa mwenye ardhi hiyo? Huo ni ujuba uliokithiri. - kwani wamekosa eneo la kufanyia sherehe hiyo kwenye ardhi ya Urussi???
Warussi ni wajinga sana. Hawakuelewa au kuona kwamba kitendo cha kufanya hivyo ni matusi makubwa kwa Ukraine? Wakapokea majibu stahiki - Kudaadek' 💪 😳😳
 
... as long as Makiivka ni ardhi halali ya Ukraine; urithi walioachiwa na wahenga wao kwa ajili ya vizazi vyao ni haki kabisa kuwaua hao wavamizi wa kirusi! Mungu aendelee kuwapigania.
Mungu ni mwema na ni mwenye Haki kila wakati. Haikuwa halali kabisa kwa wavamizi kufanyia sherehe hapo kwani Hapo sio kwao. Wangeenda kuifanyia sherehe hiyo huko kwao nchini Urussi au sio bwana.😳
 
Usiku wa kuamkia leo, Majeshi ya Ukraine yameangusha na kuangamiza drones 39 aina ya "Shaheeds", "Orlans 2 na X-59 missile
View attachment 2466399
Mrussi kwa ujinga wake alidhani kwamba vijana wa Ukraine wana"Hangover" ya sherehe ya mwaka mpya. Imekula kwake. Amekuta dah! vijana ndo kwanza wapo ngangari na wakamsimamia kidedea na kufanya yao kama ilivyo ada - wakayapukutishia chini mauchafu yake (drones na missile) aliyotuma.💪😀
 
Ukichimama Nchale, ukikimbia Mchale, ukilala nchale. 😂😂

Hatari sana hiki kikosi cha DRONE
Slava Ukraine:
Kikosi machachari mno Kimemfanya Mrussi anyooshe maelezo.😳😳😳🔨🔨 Mrussi ni Shwaini kabisa.
 
Huko Makiivka, usiku wa mwaka mpya, mamia ya Warusi wameuawa kwa makombora ya HIMARS. Walikuwa wamekusanyika wanasherehekea mwaka mpya, wakapelekewa moto

View attachment 2466529
Kila mara huwa nasema cheza na kitu kingine siyo HIMARS (M142) au M270. Wakiona target wanakuachia scrapers na mishikaki. Warusi wameokota mishikaki yao ya kutosha, halafu wanasema eti ni mishikaki 63 tu. 😂😂😂
 
Kila mara huwa nasema cheza na kitu kingine siyo HIMARS au M270. Wakiona target wanakuachia scrapers na mishikaki. Warusi wameokota mishikaki yao ya kutosha, halafu wanasema eti ni mishikaki 63 tu. 😂😂😂
Mhhh! Mishikaki 63 tu? Hapana aisee Haiwezekani. Wazee wa HIMARS hawafanyi kazi ndogo-ndogo hizo. Kwanza Ujue hapo Mrussi kataja 63 ambayo ni tayari imechakachuliwa. Inaweza kuwa 63.... i.e. inaweza kuwa ni 630+ Mambo ya vita hayawekwi wazi kivile kwani askari wataishiwa na morale - inakuwa ni siri ya kambi. Cha muhimu ni tujue tu kwamba ni mishikaki/mizoga mingi i.e. Wamekufa wameuawa wengi.
 
Kila mara huwa nasema cheza na kitu kingine siyo HIMARS (M142) au M270. Wakiona target wanakuachia scrapers na mishikaki. Warusi wameokota mishikaki yao ya kutosha, halafu wanasema eti ni mishikaki 63 tu. 😂😂😂
Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.

Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
20230103_014741.png
20230103_014830.jpg
 
Hapa ni wakati wa HIMARS ikituma mzigo, Urusi wakatupa majibu ya idadi walokufa huko Makiivka. Hata hawajaulizwa kama HIMARS imepatia target ili Urusi ndo wamesema... Huwa haikosei hata uwe usiku menene na mvua inanyesha
 
Back
Top Bottom