Na hawataki kusema kuwa vifaa vyao vimeangamizwa vyote eneo hilo.Ukiona amesema 63, Chukua hiyo namba zidisha kwa 10
Yote "Jagajagaaaa" πππHii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.
Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Muda tunasubiri majibuπ€£π€£π€£π€£. HIMARS ikimaliza kazi inasubiri majibu ya Wanaokufa kutoka Urusi
View attachment 2467341
Akawadanganye wapuuzi wenzake huko: Eti kila aina ya msaada uliohitajika ulitolewa ikiwa ni pamoja na kuwatoa majeruhi kwenye eneo la tukio......π€£π€£π€£π€£. HIMARS ikimaliza kazi inasubiri majibu ya Wanaokufa kutoka Urusi
View attachment 2467341
Hahahaaaa. Slava Ukraine.Yote "Jagajagaaaa" πππ
Aah! wapi. Shingo ngumu kama kichwa cha panzi na akili kisoda. Eti sasa anajiandaa kutoa majibu badala ya kuzingatia kwanza kutekeleza haraka ushauri alopewa bure. Mrussi Jinga, juha kweli. Ngoja wazee wa HIMARS warudi kufanya ukaguzi halafu wakute bado.Na hawataki kusema kuwa vifaa vyao vimeangamizwa vyote eneo hilo.
Siku zote wanashauliwa waweke maghala yao umbali wa 300KM kutoka alipo bwana HIMARS. Sasa wamepata wameamini. Nadhani watatekeleza ushauri wanaopewa.
Alete ripoti wakiokota majeruhi wangapi.Akawadanganye wapuuzi wenzake huko: Eti kila aina ya msaada uliohitajika ulitolewa ikiwa ni pamoja na kuwatoa majeruhi kwenye eneo la tukio......
Dah!..hii Vita imekuwa ngumu kwa Warusi....Putin miscalculatedUkiona amesema 63, Chukua hiyo namba zidisha kwa 10
Naam! Asante sana waheshimiwa wazee wa HIMARS - Kongole kwenu kwa kazi iliyotukuka. Tumekisikia kilio kikitokea pande za huko Urussi.Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.
Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Na hapo bado zile Drones zinazorusha mabomu kimo cha mtamba wa panya kuwafurusha kwenye mashimo. πππAah! wapi. Shingo ngumu kama kichwa cha panzi na akili kisoda. Eti sasa anajiandaa kutoa majibu badala ya kuzingatia kwanza kutekeleza haraka ushauri alopewa bure. Mrussi Jinga, juha kweli. Ngoja wazee wa HIMARS warudi kufanya ukaguzi halafu wakute bado.
Warussi wanajing'atang'ata tu hawanyooshi maelezo. Kipigo walichopewa bado wenge halijaisha.HIMARS kapumzika zake, anasubiri kuletewa ripoti na warusi πππ
Yale ni kwa ajili ya risasi ziendazo sambamba na uso wa ardhi lakini sio kwa ajili ya hivi vitu vizito. Wataishia kwenye mashimo yao na humo ndo watakuwa wamejizika wenyewe.Na hapo bado zile Drones zinazorusha mabomu kimo cha mtamba wa panya kuwafurusha kwenye mashimo. πππ
Ukimsoma adui ukajua namna ya ku deal naye raha sana. πππ
Yale ma pyramids yao sijui yaliishia wapi. Siwaoni wakijikinga nayo ππ
Kilichowaua zaidi yale mabomu yao. Maana walikuwa wameweka ndani ya hilo jengo. Silaha zililipuliwa na kusababisha moto mkubwa sana. Ndiyo maana wamekufa wengi.Warussi wanajing'atang'ata tu hawanyooshi maelezo. Kipigo walichopewa bado wenge halijaisha.
Huko hawaendagi porini kujisaidia au kula tunda kimasihara na ilikuwa ni usiku. Kwa mantiki hiyo yumkini hakuna aliyesalimika; labda iwe ni wale waliokuwa bado wapo mbali njiani kuja kuhudhuria kwenye sherehe.Kilichowaua zaidi yale mabomu yao. Maana walikuwa wameweka ndani ya hilo jengo. Silaha zililipuliwa na kusababisha moto mkubwa sana. Ndiyo maana wamekufa wengi.
Jamaa walipiga target hasa. Kama ni kupona labda ambaye alikuwa nje ya jengo kwa mbali.
Wanasherehekea kwenye ardhi ya watu,acha wafeHii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.
Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Ngoja wafeKule Kherson inasemwa kuwa huko nako HIMARS imefanya mambo yake , zaidi ya askari 500 wa Urusi wamerestishwa.
View attachment 2467842
Uungwana ni vitendo, bora amekiri kwa kuusema ukweli. Lakini wale warusi wa kwa mtogole wenye mrengo wa kiimani, hata ukimchinja hawezi kusema kweli, maana wanasukumwa na imani ya kidini siyo factsPigzhin yule mkuu wa kikosi cha mamluki cha Wagner akiri kwamba ngoma huko Bakhmut siyo nyepesi. Asema kuwa Kila Nyunba ya Waukrian nyuma yake ni kama kuna defensive line ya Waukraine
Nasema, nileteeni hapa HIMARS nimuone, ametesa sana warusi. Kwani HIMARS ni nani mpaka atese hivo warusi. Nileteeni HIMARS nimuone, Kaua watoto na wajukuu wa Urusi. πππKule Kherson inasemwa kuwa huko nako HIMARS imefanya mambo yake , zaidi ya askari 500 wa Urusi wamerestishwa.
View attachment 2467842