Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Uungwana ni vitendo, bora amekiri kwa kuusema ukweli. Lakini wale warusi wa kwa mtogole wenye mrengo wa kiimani, hata ukimchinja hawezi kusema kweli, maana wanasukumwa na imani ya kidini siyo facts
Utawasikia eti -"Leta picha......."
 
Uungwana ni vitendo, bora amekiri kwa kuusema ukweli. Lakini wale warusi wa kwa mtogole wenye mrengo wa kiimani, hata ukimchinja hawezi kusema kweli, maana wanasukumwa na imani ya kidini siyo facts
Hivi imekuwaje mgogoro wa Urusi na Ukraine baadhi ya wanaJf mmeugeuza kuwa ni vita kati ya Uislam na Ukristo?

Maana ninachojua ni kuwa Urusi na Ukraine wote kwa wingi wao ni wakristo Waorthodoksi na wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu zisizo za kidini.

Yaani sijaelewa. Nielimisheni.
 
Read and understand the message context before you comment.
 
Angalia Ulinzi wa anga umavyozuia mashambulizi ya Missile na drones zilizoelekezwa kushambulia Kyiv. Ila Gepard inapiga mzigo hadi basi
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu; amewazungumzia sisi mashabiki - soma vizuri mkuu ".....Lakini wale warusi wa kwa mtogole......" na hiyo ni kawaida ya ushabiki. Uwe na amani mkuu.
 
Nasema, nileteeni hapa HIMARS nimuone, ametesa sana warusi. Kwani HIMARS ni nani mpaka atese hivo warusi. Nileteeni HIMARS nimuone, Kaua watoto na wajukuu wa Urusi. 😂😂😂
Sawa imekubalika. Subiri kwanza amalize kazi huko halafu tutakuletea. We andaa ndafu tu manake yule ni mzee wa Heshima kubwa.
 
Pigzhin yule mkuu wa kikosi cha mamluki cha Wagner akiri kwamba ngoma huko Bakhmut siyo nyepesi. Asema kuwa Kila Nyunba ya Waukrian nyuma yake ni kama kuna defensive line ya Waukraine
Pigzhin amekuwa mwoga kiasi kwamba hajathubutu kwenda nyuma ya nyumba za Waukraine kuhakikisha bali amebaki kubwabwaja eti nyuma yake ni kama kuna defensive line ya Waukraine.
 
Sawa imekubalika. Subiri kwanza amalize kazi huko halafu tutakuletea. We andaa ndafu tu manake yule ni mzee wa Heshima kubwa.
Ni sauti ya yule bibi wa Sabaya. Ombi lake lilikubaliwa kama ulivyokubali ombi langu 😂😂😂😂
 
Mkuu; amewazungumzia sisi mashabiki - soma vizuri mkuu ".....Lakini wale warusi wa kwa mtogole......" na hiyo ni kawaida ya ushabiki. Uwe na amani mkuu.
Read and understand the message context before you comment.
Nimeelewa ndio maana nikacomment vile. Najua vizuri tu kuwa kuna watu huhusisha dini katika huu mgogoro na hilo ndilo swali langu kwa mashabiki wa pande zote wanaohusisha dini maana huwa siwaelewi.

Ila turudi katika uzi.

Amani.

Napita tu.
 
Huo ndo uungwana. Ubarikiwe mkuu 💃
 
Hawajui kuwa supplies route imekatwa na Ukraine siyo Russia.

Hawajui kuwa HIMARS ananusa maghala ya silaha au magari yaliyobeba silaha, anayateketeza.

Kukatwa kwa supplies ndo kunakowafanya warusi wa retreat.
Aisee..
 
Hakuna kitu kinawauma Urusi kama kuona aviation ya Ukraine ikifanya kazi vizuri. Wamejaribu kuharibu mifumo ya anga ya Ukraine bila mafanikio. Hawa ni Frontline ya Ukraine wakisaidiwa na Chopa huko Bakhmut
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…