OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Utawasikia eti -"Leta picha......."Uungwana ni vitendo, bora amekiri kwa kuusema ukweli. Lakini wale warusi wa kwa mtogole wenye mrengo wa kiimani, hata ukimchinja hawezi kusema kweli, maana wanasukumwa na imani ya kidini siyo facts