Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Mashujaa wetu wanaopoteza maisha Frontline wakiwa wanatetea na kulinda Nchi ya Ukraine. Wanazikwa kwa heshima zote. Hatuwaachi msituni Waliwe na Kunguru. Wanajeshi wa Ukriane wana sababu ya kufa. Je Urusi kwanini wanakufa?

We will never forget and never forgive.
RiP 🕯️ Heroes forever ❤️
Your browser is not able to display this video.
 
Róbert Magyar aka Mr. Jaga Jaga, ni Mwanajeshi wa kujitolea kutoka Hungary anayeishi Ukraine kwa sasa. Ni Kamanda wa Kikundi cha 45th Special Tactical Air Reconnaissance(Wapelelezi wa kikosi cha anga. Wanatumia Drones mara nyingi kuona adui alipo na idadi na Silaha zao zina nguvu gani). Wakishagundua ndo wanawapa taarifa wazee wa HIMARS na artillery battery Units wanafanya mashambulizibkutokana na Longitude na Latitude walizopewa. Huku yeye akiangalia kwa mbali. Wakikosea anawaambia. Akisema jaga jaga inamaana wamelega target

Ujumbe wake kwa dunia ni : Leo Wavamizi hawatalala.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…