kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi wakitafakari baada ya Kukimbizwa kama mbwa koko huko Ugledar[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2506147
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi wakitafakari baada ya Kukimbizwa kama mbwa koko huko Ugledar[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2506147
Slava Ukraine [emoji1255]Hii Su-25 imeangushwa huko Bakhmut
View attachment 2506132
Slava Ukraine [emoji1255]Leo tumebadilisha Wafungwa wa Kivita 116. Wapo waliokamatwa Mariupol, Kherson na Bakhmut. Pia mii ya Wanajeshi wa kigeni waliokuja kujitolea Ukraine ya Christopher Matthew Perry na Andrew Tobias Matthew, nayo imerudi kwa kubadilishana
View attachment 2506166
View attachment 2506171
Slava Ukraine [emoji1255]Mnamkumbuka Igor Mangushev? Ni Mwanajeshi wa Kukodi. Ana kikundi chake cha jeshi alichounda huko Urusi kuja kupambana Ukraine. Kikundi chake kinaitwa ENOT ambacho kinalipwa na Putin hadi Vifaa wanapewa.
Mara ya mwisho alionekana jukwaani kashikilia Fuvu la mtu na kudai ni kichwa cha Askari wa Ukraine ambaye alimuua huko Azovstal Mariupol. Na yeye leo kapewa za kichwa. Japo kawahishwa Hospital, akipona atajifunza
View attachment 2506190View attachment 2506191View attachment 2506192
Slava Ukraine [emoji1255]Kuanzia jana hadi leo, Urusi wamepoteza Wanajeshi zaidi ya mia saba (700). Hapa kwenye ndege hajaongeza, leo tumeangusha ndege moja
View attachment 2506227
View attachment 2506226
Slava Ukraine [emoji1255]Hapa ni Vuhledar na hawa ni Warusi wakipelekewa moto[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2506239
Waw! Kama hiyo ni kweli; Basi hapo sasa Mrussi ajiandae kunywa maji kwa karai. Atapigwa kama ngoma ya bugobogobo.Good news
Bunge la Ulaya limepiga kura kupeleka ndege za kisasa Ukraine na kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu!
Au ya Bunungule 😂😂😂😂Waw! Kama hiyo ni kweli; Basi hapo sasa Mrussi ajiandae kunywa maji kwa karai. Atapigwa kama ngoma ya bugobogobo.