Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Point kubwa sana,ni sawa na majambazi yakiwa yanarushiana risasi na polisi kwenye kundi la watu.Polisi wanarusha risasi kwa makini ili wasiwadhuru raia,lakini jambazi yeye hajari risasi itampata nani.
 
Ungeipenda Tanzania na Afrika kama unavyoipenda Ukraine na kupoteza muda wako, huenda ungechangia pakubwa. Ungejua hawa jamaa ni wabaguzi wa kunuka tena dhidi ya watu weusi wala usingepoteza muda wako na wetu kuleta utopolo huu mwanangu mjiiiiingani
 
Kwani kuna mtu kakulazimisha kusoma nyuzi za watu,, si ni kihelehele chako,, kama hautaki unapita kimya kimya
 
Ungeipenda Tanzania na Afrika kama unavyoipenda Ukraine na kupoteza muda wako, huenda ungechangia pakubwa. Ungejua hawa jamaa ni wabaguzi wa kunuka tena dhidi ya watu weusi wala usingepoteza muda wako na wetu kuleta utopolo huu mwanangu mjiiiiingani
Hapa tunapigania haki za binadamu.wewe ulibaguliwa ukraine ulienda kufanya nini?
Urusi kama anapinga ubaguzi mbona hajaenda saudi arabia ambako mabinti waafrika wanaofanyakazi za ndani wananyanyaswa hadi kuuawa.
waambie hao warusi warudi kwao watakuwa salama salimini.
 
Nchi yetu ilikuwa ya amani. Ninyi mkatuingiza kwenye vita kwa jeuri na Uwezo wenu. Mumeua bibi, wazi na Watoto wetu, Mumevamia nchi na kichukua Mali zetu kwa kutuona sisi wanyonge
Your browser is not able to display this video.
 
Ungeipenda Tanzania na Afrika kama unavyoipenda Ukraine na kupoteza muda wako, huenda ungechangia pakubwa. Ungejua hawa jamaa ni wabaguzi wa kunuka tena dhidi ya watu weusi wala usingepoteza muda wako na wetu kuleta utopolo huu mwanangu mjiiiiingani
Mbona unampangia cha kupost. Kwani akipost hivi ndio haipendi tz. Kwani hao warusi ndio sio wabaguzi au we mwenye kuchagua tu watu wa kuwapenda ni ubaguzi tosha acheni zenu warusi wa mchambawima
 
Hii hapa nilisahau kuiupdate. BBC walidai Igor Mangushev alikufa kesho yake baada ya kufikishwa Hospital. Taarifa alithibitisha mke wake tarehe 08 Feb 2023. Urusi walificha wakijua hatutajua kama kakukufa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…