figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #11,021
Washikaji eeh.. Kazi ianze, Urusi wamejileta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Mke wa Igor Mangushev analalamikia Serikali ya Urusi kaa kutompeleka mumewe hospitali kubwa afanyiwe operation ya kichwa pia eti uchunguzi wa kifo chake hajafanyika. Kweli warusi wajinga, alikuwa anafurahia mumewe kuua watu wa ukraine na kutembea na mafuvu yao jukwaani. Au walijua Waukraine sio watu?
Angekuwa anampenda angemshauri asiende Vitani
View attachment 2516286
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi baadhi wanazikwa huku. Kwa jinsi walivyo wengi, Makaburi yanachimbwa na kijiko. Urusi imeshikishwa adabu, hatarudia kwa Nchi nyingine. Ukiwauliza Pro Urusi kwanini hawa wamekufa hamna majibu. Ukraine tunaju wanafia Nchi yao na Wanatetea Nchi dhidi ya Wakoloni Wavamizi. Je Urusi kwanini wanakufa?
View attachment 2516534
Slava Ukraine [emoji1255]Washikaji eeh.. Kazi ianze, Urusi wamejileta
View attachment 2516542
Kunywa maji dada upoze roho,mwanamke pumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,Mke wa Igor Mangushev analalamikia Serikali ya Urusi kaa kutompeleka mumewe hospitali kubwa afanyiwe operation ya kichwa pia eti uchunguzi wa kifo chake hajafanyika. Kweli warusi wajinga, alikuwa anafurahia mumewe kuua watu wa ukraine na kutembea na mafuvu yao jukwaani. Au walijua Waukraine sio watu?
Angekuwa anampenda angemshauri asiende Vitani
Duuuh,hivi warusi wanaosifiwa kwamba wanapinga ushoga ni dini gani?Warusi baadhi wanazikwa huku. Kwa jinsi walivyo wengi, Makaburi yanachimbwa na kijiko. Urusi imeshikishwa adabu, hatarudia kwa Nchi nyingine. Ukiwauliza Pro Urusi kwanini hawa wamekufa hamna majibu. Ukraine tunaju wanafia Nchi yao na Wanatetea Nchi dhidi ya Wakoloni Wavamizi. Je Urusi kwanini wanakufa?
Hao ni waliopata bahati ya kurudishwa nyumbani,au ni pamoja na walioozea ukraine?Wake na ndugu wa Wanajeshi wa Urusi waliokuwa wanadai waume zao Warusi kwamba Warudi nyumbani, wamepelekwa kuoneshwa Waume zao walipo. Na bado. Hadi Ukraine wataikimbia
View attachment 2516567
Hapo naona ni imani tu inafanya kazi na kucheza na akili za hao wanawake kwani hakuna mwenye uhakika na kilichofukiwa hapo kaburini. Wataishia kuona tu picha juu ya kaburi lakini sio maiti iliyo ndani mwake.Hao ni waliopata bahati ya kurudishwa nyumbani,au ni pamoja na walioozea ukraine?
Vipi kuhusu ATCAMS.Mzigo umeshafika bandarini
View attachment 2518054View attachment 2518055View attachment 2518056View attachment 2518057
Nadhani anatumia sheria ya kutompiga sisimizi kwa bunduki,kama silaha zilizoenda hazijashindwa kazi hakuna haja ya kutuma kubwa zaidi.Vipi kuhusu ATCAMS.
Nasikia USA kazingua kuzitoa. Hii itakuwaje?