kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Vifaru vya Warusi vilijichanganya na kupita ktk njia yenye mabomu ya kutega ardhini. Kilichowatokea sasa!
View attachment 2513365
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Vifaru vya Warusi vilijichanganya na kupita ktk njia yenye mabomu ya kutega ardhini. Kilichowatokea sasa!
View attachment 2513365
Slava Ukraine [emoji1255]Wanajeshi wa Urusi waliojisalimisha huko Vuhledar. Wamesema 50% wameuliwa na Majeruhi ni wengi. Ndo sababu wamejisalimisha. Wamesema kundi la 155th Guards Naval Infantry Brigade kutoka Vladivostok imeshateketezwa yote. Urusi itabidi iliunda upya kwa kuwapa wanajeshi,vifaa na mifumo mipya yakijeshi.
View attachment 2514146View attachment 2514147View attachment 2514148
Slava Ukraine [emoji1255]Hii ambushi ambayo Urusi wamepigwa sio Bakhmut kama inavyo lipotiwa bali ni Zaporizhzhia.
Coordinates zake ni;
47°22'34.15"N, 35°21'41.20"E
View attachment 2514156
Slava Ukraine [emoji1255]Checkpoint iliyowekwa na Urusi. Drones zimewashughulikia
View attachment 2514182
Niliwamic mnoooAZOV hawa hapa
View attachment 2514185
Slava Ukraine [emoji1255]Angalia Warusi wanavyo teketezwa
View attachment 2514189
Slava Ukraine [emoji1255]Miamba hii hapa. Urusi wakiwaona wanatetemeka
View attachment 2514206View attachment 2514205View attachment 2514204
View attachment 2514195View attachment 2514196View attachment 2514197View attachment 2514198View attachment 2514199View attachment 2514200View attachment 2514201View attachment 2514202View attachment 2514203View attachment 2514208View attachment 2514207
Slava Ukraine [emoji1255]Hawa Warusi walikuwa wanategua mabomu ya Vifaru yalotegwa na Ukraine. Hawaamini macho yao
View attachment 2515574
Slava Ukraine [emoji1255]Frontline akiwa Ofsini kwake. Mrusi asogee aone[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2515575
Slava Ukraine [emoji1255]Hivi Warusi wanafanya nini Ukraine? Si Warudi kwao wakiwa hai? Angalia wanavyo kufa kama sisimizi
View attachment 2515741
Slava Ukraine [emoji1255]Hii hapa nilisahau kuiupdate. BBC walidai Igor Mangushev alikufa kesho yake baada ya kufikishwa Hospital. Taarifa alithibitisha mke wake tarehe 08 Feb 2023. Urusi walificha wakijua hatutajua kama kakukufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naam! Kula na kulipa. Huyo Mangushev alidhani waUkraine ndo wanayo mafuvu ya kuchezea disco. Fuvu lake mwenyewe nalo limebomolewa na hao-hao waUkraine. Hilo na liwe ni fundisho na onyo kali kwa waRussi walioko katika kikundi cha ENOT waache kujitutumua eti wanalipwa hela nyingi na vifaa kedekede kutoka kwa Putin mwenyewe. Haya sasa!Putin na akamwokoe kama anampenda zaidi kuliko malaika Ziraeli mtoa roho.Hii hapa nilisahau kuiupdate. BBC walidai Igor Mangushev alikufa kesho yake baada ya kufikishwa Hospital. Taarifa alithibitisha mke wake tarehe 08 Feb 2023. Urusi walificha wakijua hatutajua kama kakukufa🤣🤣🤣
Putin anawatoa kafara waRussi wenzake kimasihara.Nimehesabu maiti za Warusi nikaona uvivu. Warusi hawaamini macho yao jinsi wanavyokufa. Walijua vita mchezo🤣🤣🤣
View attachment 2516348