Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ndo Ofisi ya Wakina Jagajagaaa... Wanakuwa wanawaelekeza Washika Mtutu adui alipo. Wapelelezi hawa(reconnaissance). Hii ni Comand center inayoongoza Unit za Adam, Madyar na Skala... Huko Bakhmut. Hawa ndo Elon Musk anataka awazimie internet
 
Mke wa Igor Mangushev analalamikia Serikali ya Urusi kaa kutompeleka mumewe hospitali kubwa afanyiwe operation ya kichwa pia eti uchunguzi wa kifo chake hajafanyika. Kweli warusi wajinga, alikuwa anafurahia mumewe kuua watu wa ukraine na kutembea na mafuvu yao jukwaani. Au walijua Waukraine sio watu?

Angekuwa anampenda angemshauri asiende Vitani
View attachment 2516286
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Warusi baadhi wanazikwa huku. Kwa jinsi walivyo wengi, Makaburi yanachimbwa na kijiko. Urusi imeshikishwa adabu, hatarudia kwa Nchi nyingine. Ukiwauliza Pro Urusi kwanini hawa wamekufa hamna majibu. Ukraine tunaju wanafia Nchi yao na Wanatetea Nchi dhidi ya Wakoloni Wavamizi. Je Urusi kwanini wanakufa?
View attachment 2516534
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Wapelelezi
IMG_20230213_233943_646.jpg
 
Mke wa Igor Mangushev analalamikia Serikali ya Urusi kaa kutompeleka mumewe hospitali kubwa afanyiwe operation ya kichwa pia eti uchunguzi wa kifo chake hajafanyika. Kweli warusi wajinga, alikuwa anafurahia mumewe kuua watu wa ukraine na kutembea na mafuvu yao jukwaani. Au walijua Waukraine sio watu?

Angekuwa anampenda angemshauri asiende Vitani
Kunywa maji dada upoze roho,mwanamke pumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,
ungekuwa mshauri mzuri mmeo asingefanya huo upuuzi,sasa umevuna ulichopanda.
Wapo wajane wengi ukraine wanalia kwa maumivu aliyoyasababisha mmeo
malipo ni hapa hapa duniani
 
Warusi baadhi wanazikwa huku. Kwa jinsi walivyo wengi, Makaburi yanachimbwa na kijiko. Urusi imeshikishwa adabu, hatarudia kwa Nchi nyingine. Ukiwauliza Pro Urusi kwanini hawa wamekufa hamna majibu. Ukraine tunaju wanafia Nchi yao na Wanatetea Nchi dhidi ya Wakoloni Wavamizi. Je Urusi kwanini wanakufa?
Duuuh,hivi warusi wanaosifiwa kwamba wanapinga ushoga ni dini gani?
maana hizo vitu kwenye makaburi nilidhani ni misalaba lakini naona siyo au ndo alama ya wapagani?
 
Vipi kuhusu ATCAMS.
Nasikia USA kazingua kuzitoa. Hii itakuwaje?
Nadhani anatumia sheria ya kutompiga sisimizi kwa bunduki,kama silaha zilizoenda hazijashindwa kazi hakuna haja ya kutuma kubwa zaidi.
kumbuka wanajeshi wa ukraine nao ni binadamu,wanatekwa
sasa silaha yako ya kisasa ikitekwa usidhani inateketezwa bali wanaiba na technolojia.
 
Back
Top Bottom