.....wamerudi wanachechemea OK, lakini Wengine wengi wamegeuzwa mbolea hawakuweza kurudi japo kwa kuchechemea.🤣🤣🤣🤣 Walikuja kishujaa na mbinu nyingi za kijeshi za kutembea zigzag, ila wamerudi wanachechemea
View attachment 2518062
Walishaahidi kutoa. Hayo mengine ni mbinu za kijeshi. Kama umeona, USA imempa ATACMS Poland eti ijilinde dhidi ya Belarusi. Poland hakuna Vita. Pia kuna Wanajeshi wa Ukraine wapo training Poland jinsi ya kutumia ATACMS. Ila hadi sasa sijasikia ATACMS zipo Ukraine. Ila nategemea hizo anapewa Poland ndo Ukreina.Vipi kuhusu ATCAMS.
Nasikia USA kazingua kuzitoa. Hii itakuwaje?
Huu mzigo uloshuka ambao kuna M2 Bradley IFVs, HMMWVs na AN/TWQ-1 Avenger version, ngoja tuone Ubora wake. Kama kutakuwa na mabadiliko. Nadhani hatua kwa hatua. Ngoja kazi ipigwe mwezi ndo tutajua ubora kabla ya kulalamika sana. Kipindi Urusi amechachamaa na Drone zake za Iran aina ya Shahed-136, Ujerumani alitoa Silaha inaitwa Gepard self-propelled air defense systems. Tukalalamika sana kwamba sio silaha nzito. Baada ya wiki tukaona Mafanikio, sasa hivi Drone za Urusi sio tishio tena. Gepard moja inaweza angusha hata drone 30. Japo sio nyingi ila kila sehemu yenye Miundombinu sasa hivi kuna Gepard japo hakuna za kutosheleza Nchi nzima.Vipi kuhusu ATCAMS.
Nasikia USA kazingua kuzitoa. Hii itakuwaje?
Nimefurahi, nikatoa pumzi kubwa hadi ushuzi umenitoka.😂😂😂 Hizi taarifa na ziwe za ukweli.Mzigo umeshafika bandarini
View attachment 2518054View attachment 2518055View attachment 2518056View attachment 2518057
Jamaa hawajali utu wala ubinadamu. Wao ni lengo litimie tu. WashenziKila siku usiku askari wa Wagner wanajaribu kuvamia huko Bakhmut wakiwa katika vikundi vya watu wachache wachache, lakini wengi wanauawa sana lakini bado wanapelekw watu tu.
Cheki hii video
View attachment 2518309
Wagner akili zake ndo hizo hizo za Mrussi. Wataisha kwa mtindo huo.Kila siku usiku askari wa Wagner wanajaribu kuvamia huko Bakhmut wakiwa katika vikundi vya watu wachache wachache, lakini wengi wanauawa sana lakini bado wanapelekw watu tu.
Cheki hii video
View attachment 2518309
Inaonesha Urusi kaishiwa IFV na APC maana sio kwa kutuma watu wajipeleke hiviKila siku usiku askari wa Wagner wanajaribu kuvamia huko Bakhmut wakiwa katika vikundi vya watu wachache wachache, lakini wengi wanauawa sana lakini bado wanapelekw watu tu.
Cheki hii video
View attachment 2518309
Eti Punda afe lakini mzigo ufikeJamaa hawajali utu wala ubinadamu. Wao ni lengo litimie tu. Washenzi
Slava Ukraine [emoji1255]Wapelelezi
View attachment 2516554