Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Karne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamejadili jinsi ya kushinda vita mwaka huu na kuahidi kutoa msaada usio na mashaka wa silaha pamoja na dola million 500 kwa Ukraine.

Kazi ipo kwa Putin.
Hapo Game la Ukraine vs Russia (Putin) ndo litaishia hapo
 
Karne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kwa akili hizo ndo mana Mrussi anachezeshwa kwata kana kwamba bado ni Kuruta wa jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…