figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,561
Sasa atatakiwa aseme au atoe Taarifa ya kina, inayoeleweka kuhusu vile vya Urusi vipo wapi na coordinates zake kikamilifu. Tofauti na hapo........Military intelligence wa Urusi kadakwa huko Donetsk. Alikuwa anakusanya taarifa kambi za Ukraine zilipo au vifaru vilipofichwa ili vilipuliwe. Sasa ataanza kupelelezwa yeye
View attachment 2534759
Naona matunda ya zile re-inforcements ambazo serikali ya Ukraine ilisema inapeleka Bakhmut yameanza kuonekana.Wagner hawaamini, miji ya Khromovo na Chasov Yar-Bakhmut highway waliodai wameteka, imerudishwa na kurushwa mbali huko km nyingi tu. Kazi inaendelea kujilinda na kurudisha maeneo yanayokaliwa kimabavu. Kazi nzuri ya kikosi cha anga. Mapambano yanaendelea
View attachment 2534878
Ndio ila bado vumbi linatimka.Naona matunda ya zile re-inforcements ambazo serikali ya Ukraine ilisema inapeleka Bakhmut yameanza kuonekana.
Kwani HIMARS amelala mpaka wafanye vile au ni picha ya Feb 24 2022.Urusi wamerudia ule mchezo wao wa Machi mwaka jana wa kutengeneza Convoy wa vifaa vya Jeshi
View attachment 2535023