figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,581
Nihabari njema sana kama Zina ukweliWagner hawaamini, miji ya Khromovo na Chasov Yar-Bakhmut highway waliodai wameteka, imerudishwa na kufurushwa mbali huko km nyingi tu. Kazi inaendelea kujilinda na kurudisha maeneo yanayokaliwa kimabavu. Kazi nzuri ya kikosi cha anga. Mapambano yanaendelea
View attachment 2534878
Huyu mwamba namwaminia. Hana tabia mbaya ya kutulisha matango poriNihabari njema sana kama Zina ukweli
1. Urusi hawezi akarudia kisilani kile tena . Bado ana kumbukumbu ya kilichompata mwaka jana.Urusi wamerudia ule mchezo wao wa Machi mwaka jana wa kutengeneza Convoy wa vifaa vya Jeshi
View attachment 2535023
Nina wasiwasi na wachina kama wakianza kumpa sapoti Mrusi ya vifaa.1. Urusi hawezi akarudia kisilani kile tena . Bado ana kumbukumbu ya kilichompata mwaka jana.
2. HIMARS yuko macho na kazi yake ni kunyemelea mkusanyiko wa vifaru kama ule. Unless iwe mbali ya range yake
Hayaah! Hawawafahamu Wazee wa HIMARS sawasawa nini. Ngoja wazee wapate mnuso ndo akili zitawakaa sawasawa. Maji wataita mma.Urusi wamerudia ule mchezo wao wa Machi mwaka jana wa kutengeneza Convoy wa vifaa vya Jeshi
View attachment 2535023
Mchina yuko bize na hali ya Taiwan kwani imemkalia pabaya. Sidhani atakuwa na muda wa kuhangaika na huyo boya. Westerners wana akili sana:Nina wasiwasi na wachina kama wakianza kumpa sapoti Mrusi ya vifaa.
Hii itacomplicate sana mission ya Ukraine.
Mrusi bhana! Yani akili zake sijui zinakaaga wapi. Hakujifunza kwa yaliyompata Feb 2022 kuhusu hayo makonvoi yake. Ngoja alete tena mengine.Yaani Convoy yote ya Urusi imesambaratishwa na vifaru viwili tu vya Ukraine. Urusi wamekiri kwamba Vifaru vyao vya IFV vimeteketezwa kwenye location 48.110168, 37.683090 Vodyane, Mkoani Donetsk. Lazima wamekufa wengi sababu vinabeba wanajeshi
View attachment 2535336
Yap! Vodka na Bhangi havijawahi kumwacha mtu salama.Urusi wamekutana na chamtemakuni huko Avdiivka
View attachment 2535329
Yes! Wagners huo "mshiko" waliopata kutoka kwa Mrusi unawatokea puani. 🙄Brigade number 67 ya Ukraine, ikiwapelekea moto wagner ktk misitu ya jirani na Bakhmut. Cheki wanavyokufa kama kuku
View attachment 2535359
Crimea leo imepelekewa moto. Bado hawajasema wamekufa wangapi. Ni kwenye base ya Urusi
View attachment 2534210
Warusi wanajuta
View attachment 2534218
Ukraine Wanalindwa na Mungu. Angalia hapa anavyo koswa koswa na risasi hapa alikuwa anapambana na armoured personnel carrier (APC) cha Urusi. Piga nikupige.. Hakuna kukata tamaa
View attachment 2534388