Baada ya kuona Drone za Ukraine zimewaandama, wakaweka mikono juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2534654
Inadaiwa Mlipuko uliotokea Crimea, Wanajeshi wengi wa Urusi wamekufa. Watasema au tutajua siku ya kuwazika
View attachment 2534655
Kikosi cha Wakina Alexander kutoka Petropavlovsk huko Urusi kimeteketea chote. Hawa Warusi kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky umbali wa Km 1500 kuja Donetsk kuua kizazi cha Ukraine. Walikuja kwa mbwembwe sana. Jeuri yao ipo wapi?
View attachment 2534700View attachment 2534701View attachment 2534702View attachment 2534703View attachment 2534704View attachment 2534705
Slovakia ina ndege 11 za Kisoviet aina ya MiG-29. So kasema 10 atampa Ukriane halafu moja iliyobaki itawekwa Makumbusho. Nchi nyingi wameanza kuacha kutumia Silaha za Urusi kutokana na kumuunga Mkono Ukraine, hivyo wanahofia kukosa vipuri. Wataanza kutumia Silaha za Magaribi.
View attachment 2534751
Military intelligence wa Urusi kadakwa huko Donetsk. Alikuwa anakusanya taarifa kambi za Ukraine zilipo au vifaru vilipofichwa ili vilipuliwe. Sasa ataanza kupelelezwa yeye
View attachment 2534759
Lieutenant Colonel Roman Osechkin kakukufa. Sasa walikuwa wanaficha nini? Wengine waliokufa ni Major Yevgeny Filev, Captain Sergey Kruchinin na Captain Ilhar Mammadov
View attachment 2534767View attachment 2534769View attachment 2534770View attachment 2534771
Wagner hawaamini, miji ya Khromovo na Chasov Yar-Bakhmut highway waliodai wameteka, imerudishwa na kufurushwa mbali huko km nyingi tu. Kazi inaendelea kujilinda na kurudisha maeneo yanayokaliwa kimabavu. Kazi nzuri ya kikosi cha anga. Mapambano yanaendelea
View attachment 2534878
Picha ya leo Bakhmut.. Jua limechomoza
View attachment 2535197
1. China haitaweza kumsaidia Russia kwenye vita hii. Yuko upande wa Russia kibiashara zaidi.Nina wasiwasi na wachina kama wakianza kumpa sapoti Mrusi ya vifaa.
Hii itacomplicate sana mission ya Ukraine.
Good analysis!1. China haitaweza kumsaidia Russia kwenye vita hii. Yuko upande wa Russia kibiashara zaidi.
2. China yuko kibiashara zaidi. Lengo kuu la china ni kunufaika na Rasilikali za mafuta, gesi, mbolea na makes ya mawe baada ya EU kukataa bidhaa hizo. China kashaona fursa za biashara pale.
3. Focus ya China ni kukuza uchumi wake uwe mkubwa zaidi USA. Anajua wakimpa silaha Russia atawekewa vikwazo na uchumi wake utadumaa.
Waw! Kwa Mtaji huu; hapo Mrusi sasa itabidi avae boxer mbili-mbili. Atakuwa na kazi ya kujilinda na kuilinda miundo mbinu iliyo ndani ya uwezo wa Vilkha -M, lakini pia atakuwa na kazi ya ziada aliyojianzishia mwenyewe kwa upumbavu na ubabe wake ya vita nchini Ukraine.Ukraine wametengeneza Vilkha-M system yao yenye kwenda umbali mrefu kuliko HIMARS. Sasa wqtaipiga Urusi wenyewe bila kutegemea msaada wa Lonv range za NATO.
View attachment 2535688
Kwa kumbukumbu zangu Ukraine wanayo hiyo MLRS tangu 2019. Labda kama wameiboresha. Ina max range distance ya 130KM accurately hit. HIMARS ina uwezo wa kupiga 300KM accurately. Au una maana wametengeneza long range missile za kurushwa na Vilkha-MUkraine wametengeneza Vilkha-M system yao yenye kwenda umbali mrefu kuliko HIMARS. Sasa wqtaipiga Urusi wenyewe bila kutegemea msaada wa Lonv range za NATO.
View attachment 2535688
Ukisikia wanasema hivyo kuwa atawaondoa ni kwamba walishaondolewa Bakhmut. Huwezi kutangaza kabla hujawaondoa ni Risk. Ni sawa na kutangaza kuwa nita retreat mahala fulani wakati bado hujaondoka.Jagajagaa kasema leo anawaondoa Vijana wake wa drone Bakhumut. It means kaona hatari. Ila kasema Vikosi vingine bado vipo Bakhumut vinapiga mzigo na kuwapelekea moto urusi. Anasema anaenda kuongeza nguvu Kwenye vikosi vingine sehemu nyingine.
View attachment 2535623
Wameiboresha.. Wamesema ina uwezo wa kupiga umbali zaidi ya HIMARS. Naona wametumia Teknolojia ya HIMARS kwenye kuboresha. Vita inafundisha vingi.Kwa kumbukumbu zangu Ukraine wanayo hiyo MLRS tangu 2019. Labda kama wameiboresha. Ina max range distance ya 130KM accurately hit. HIMARS ina uwezo wa kupiga 300KM accurately. Au una maana wanatengeneza long range missile za kurusha na Vilkha-M
Hongera kwa aliyehusika kufaulisha kipigo hicho dhidi ya Mrusi, lakini pia pole kwa walioathirika na tukio hilo kwani Putin ndo kisababishi (causetive agent) mkuu wa madhila yote hayo.Moscow jana kimewaka. Ila hawasemi. Iskanders ilitua Kolomna.
View attachment 2535798