Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ndio anaesema pro Russia wana matusi ila yeye mstaarabu
 
Kwanza hadi ukutane nacho uso kwa uso ni kazi sana. Uko mlandizi chenyewe kinakupa shughuli huko huko!!

1. Hata kama awe nacho umbali wa mita 200 hakifanyi kitu. Kikipiga kifaru chake kinasambaratisha kabisa.

2. Kwa vyovyote vile Leopard 2, Bradley na tanks zingine ambazo zina firepower kubwa zikiingia frontline zinaanza kuwashugulikia vikiwa mbali

3. Hizo tank zinajilinda kwa mashambulizi ya ndege, ukileta ndege zako frontline kifaru kina uwezo wa kuishughulikia.
 
Ukiona mtu anatishia kitu ujue uwezo huo hana. Ndiyo maana hata juzi Putin aliposema atajenga Kituo cha nyukiria Belarus wanaume wakasema mpaka sasa hawajaona hizo dalili ya nyukiria inayosemwa wala mpango wa Russia kutumia Nyukiria.

Mzee Biden alishamuonya Putin tangu mwanzo kwa maneno mawili tu. "Don't dare"
 
Ni kweli Russia hawana mpango wa kutumia nyuklia

na kuhusu kujengwa kituo cha nyuklia beralus kauli hata mwezi haina west wana haha so vuta subira
 
Alishatumia kama mara nne. Kinzhal hypersonic missile zao sijsona ajabu zaidi ya kusema zina speed. Hazina range accurate. Haikawii kukata kona kurudi ilipotoka[emoji1787][emoji1787]
Miongoni mwa target zilizo fanikiwa

Nuclear energy operator Energoatom said the strike at the Zaporizhzhia plant had cut off the link between the facility and the Ukrainian power system

BBC
 
Duh! Pole yake Putin. Atakutwa na makorokoro yake anayojivunia na ktutishia eti ni nyuklia.
West ndio wana control na ku run Dunia.. kuanzia Politically, socially and economically ndio maana nchi ikiishiwa reserve ya pesa ya Dollar inakuwa imefilisika automatically lakini nchi haitakiwi kuwa na Rubble ya Russia sababu haina maana. USA na West wana nguvu kuanzia kwenye pesa yao.

Sitarajii kwa namna yeyote ile Russia kuwashinda mabavu West wakiamua full scale war kwa sasa ukizingatia zaidi ya nusu ya Professional army toka Russia imefyekwa na Ukraine pekee.
 
Mkuu nyuklia ilitumiwa hata na marekani kule japan
Na ndio ilimaliza vita ya pili ya Dunia na ndio iliifanya Dunia na huyo Mrusi wampigie magoti USA na kumtawaza kuwa Super Power.

But kwa sasa USA unadhani atakuwa ameadvance vipi kwenye hiyo nyanja ya manyuklia kama huko 1945 alikuwa nao mzigo wa heavy wa nuclear ilhali Dunia ilikuwa bado imesinzia?

USA Ana silaha ambazo Dunia bado haijashuhudia.

Asanteni
 
Hata Urusi anazo silaha ambazo dunia haijawahi shuhudia mkuu

Na kuhusu nyuklia nilimjibu anae sema kuhusu nyuklia kutumiwa na urusi
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…