Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Russia ni masikini kwenye vinywa vya west na wale tulio lishwa propaganda lakin si kweli unajua Russia kaekewa vikwazo vingapi kwenye hii operation yake na bado west ndio wanalalamika kila kukicha hili hulioni na bado uchumi wa Urusi unaendelea kukua

Vipi kuhusu mji wa mariupol alio ujenga baada ya kuuchukua

Acha mzaha ndugu
 
Wabongo vichwa maji sana,,,,, uzi wa mafanikio ya Ukraine Frontline unaleta habari za urusi tukueleweje?

Watanzania tunashindwa hata hivi vidogo vidogo vidogo

[emoji3][emoji3] Kuna watu wanawashwa kwa kweli, umeona ule uzi wenu wa kucopy na kupest hautoshi mmerukia na huku
 
Sisi hatuna uzi mkuu ila ule ni uzi wa kujenga hoja kwa mantiki na ndio maana unakimbiwa sana jaribu kuangalia comment za kwanza kwanza uone walivyo kuja kwa kasi na sasa waka hamia mahala fulani

So na wewe kama una hoja karibu.

Niwatakie wakati mwema.
 
Ok,labda ikiwa Urusi hasapoti mpango huo, je hilo linatosha kumpa uhalali wa kuivamia Ukraine, kuua, kaharibu makaazi,...nk????
 
Kama Urusi hawasapoti ushoga nitabaki nawasapoti Urusi ili Mashoga waishe ila kama na Urusi nao wanasapoti ushoga basi wote ni haramu kwangu na sitasapoti upande wowote

Maana huu ni ujinga sana bora Uganda ncchi ya Mungu
... Kamala Harris, Makamu wa Rais - US, anatua nchini baadaye leo kwa ziara rasmi ya kitaifa na atapokelewa kwa nderemo na vifijo na mamlaka zote za nchi. Una-support nchi yako au hu-support.
 
Inasapoti au haisapoti haina haki ya kuingia nchi nyingine na kupora ardhi kimabavu.
 
Inasapoti au haisapoti haina haki ya kuingia nchi nyingine na kupora ardhi kimabavu.
Huyu kauliza hilo swali akihisi kwamba kuna watu wataacha kujadili mambo ya frontline wajadili Ushoga. huna sababu ya kumjibu. Eti ndo sababu ya kuua watu. Baasi wangeanza kuvamia Marekani na Uingereza. Ukraine ni taifa huru linajitawala na kujiamlia mambo yake. Ni sawa na Tanzania ivamie Kenya kwa sababu kuna Wakristo wengi kisa rais wetu muislam.
 
Kuna miji ya Ukraine naipenda sana. Mji wa kwanza napenda ni Odessa na wa Pili ni Mariupol nyumbani kwa Azov Battalion.

Mariupol ishaanguka mikononi mwa Wavamizi lakini hadi leo Urusi wameshindwa kupenya Odessa yenye beach safi kabisa duniani na Bandari bora inayolisha Africa nzima.

Habari njema ni leo Wavamizi waliojimilikisha Mariupol wamepelekewa moto hadi wanajuta. ipo siku Mariupol itakombolewa kwa mara ya nne. si Mara ya kwanza Urusi Kuvamia Mariupol na Kuiba chuma. Ni mara nyingi na huwa inaambulia patupu. Mariupol Itakombolewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…