Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu mbwa anaitwa Chichi. anaweza kutofautisha Mwanajeshi wa Ukraine na Urusi. Wanajeshi wakiwa kwenye handaki au muda wa Usiku, yeye ndo wa kwanza kujua Adui alipo. Anapendwa sana kwani hata mkijificha anajificha na habweki. Ana uwezo wa kuonesha askari aliye jeruhiwa alipo au kupoteza maisha. Ni msaada Mkubwa. Huyu ni tofauti na yule anayenusa mabomu
 

Hiyo breed ya mbwa huyo inaitwa
β€œBelgian Malinois”, ni Military dog.

Ninao wa kutosha………….
 
Hiyo breed ya mbwa huyo inaitwa
β€œBelgian Malinois”, ni Military dog.

Ninao wa kutosha………….
Hapana mkuu. Kwa mjibu wa Mkuu wa Territorial Defense Brigade wa Luhansk, kasema huyu Mbwa ni shepherd dog
 
Ukweli mtupu. Mimi ninadhani watu wafuatilie historia ya Russia kuanzia huko nyuma.

Huyu jamaa anapenda kuwa the Super power in the World lakini huwa anakutana na pingamizi la West na US.

Umoja wa Kisoviet ulisambaratishwa na US na West,ulikuwa na nguvu sana kipindi kile, baada ya kusambaratishwa ukashindwa kuzisaidia nchi za Africa na Ukomunism ukadhoofika. Alijitahidi kuwa karibu na China, North Vietnam na North Korea.

Kwahiyo Russia kuwashinda hawa jamaa unahitajika muujiza wa kweli au akubali kumaliza vita kwa njia ya mazungumzo.

Vita ya pili ya dunia alimshinda Mjerumani na kuitawala Ujerumani Mashariki kwa support ya West na US ila sasa hivi hawezi maana hawapo upande wake.
 
Tuwaombee Ukrain, Nato na USA haya mengine ni changamoto tu

Urusi ni mvamizi hafai na pia hana msaada wowote na sisi
... now you are coming to your common sense; na sio kuleta habari za ushoga kwenye thread takatifu kama hii; thread inayohusu ukombozi wa taifa; kupigania maisha; kuwatetea wanaoonewa na kusetwa na ibilisi unawezaje japo kuwaza kuleta ujinga kama ule ulio-post pale juu?
 
Urusi anao uwezo wa kuwa supper power kama tu ataimarisha uchumi wake, uwezo huo anao kama ataamuwa.
 
Niambie kampuni yoyote ya kirusi iliyofanya kazi tanzania ikawalipa wafanyakazi wake vizuri wakawa na maendeleo,
Binafsi natumia sana kigezo hicho kupima uwezo na utu wa mtu.
Hata kwako nyumbani,huwezi kuniambia una uwezo mkubwa wakati house girl/boy wako ana mba kichwani.
 
Urusi anao uwezo wa kuwa supper power kama tu ataimarisha uchumi wake, uwezo huo anao kama ataamuwa.
Is it simple like that.

Kwa uelewa wako kumbe hajaamua akiamua uchumi wake unapaa hadi anawapita USA, China, Japan na wengine !!!!!

Ama kweli akili ni mali siyo wingi wa nywele na makamasi.

These are the people whom we waste our time arguing with them. πŸ™„πŸ™„
 
Ila watu tumetofautiana aisee, sijui ni mahaba au uelewa nashindwa kung'amua.

Yaani mtu awe super power kwa kuamua tu ndani ya madakika kama mpira.
 
Ni kuamua/ kukata shauri la kukuza uchumi...............usipoamuwa kufanya jambo you gona do nothing about it. Simple like that. Iko hivyo hata kwa level ya mtu mmoja.
 
Ila watu tumetofautiana aisee, sijui ni mahaba au uelewa nashindwa kung'amua.

Yaani mtu awe super power kwa kuamua tu ndani ya madakika kama mpira.
Wamebeba wafuvu yaliyojaa urojo tu. Wana akili za kulia ugali na kwenda haja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…