Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

“The Ukrainians inflicted significant losses on the Russians, and they depleted their stocks of armored vehicles in a way that no one could ever imagine.🤣🤣🤣🤣
View attachment 2570319
Kama Bakhmut, Vuhledar na Avdiivka zimewatoa jasho hivo. Wataweza kweli kwenye counter offensive inayokuja. Wamewekeza nguvu kubwa wameishia kwenye meat Grainder. Ngoja tusubiri
 
Russian kuanza kufanya mazoezi ya makombora ya masafa marefu ni kwa kuwa wanajua kinachowatokea huko Ukraine. Kwa ivo wanataka waambiwe waache mazoezi waingie kwenye majadiliano.
 
Russian kuanza kufanya mazoezi ya makombora ya masafa marefu ni kwa kuwa wanajua kinachowatokea huko Ukraine. Kwa ivo wanataka waambiwe waache mazoezi waingie kwenye majadiliano.
Mambo ya Vitisho yashapitwa na wakati. Watajua wenyewe.
 
Anayetishiwa ni USA na NATO siyo Ukraine tena.

Kama ni mwamba kweli kwa nini asirushe moja tu USA au kwenye NATO territory.?
Hahaaa... Umenikumbusha November 2022 kuna Bomu lilitua Poland kwa bahati mbaya. Lile bomu lilikuwa la Ukraine, walikuwa wanatungua drones za Urusi, wakakosea target bomu likaenda moja kwa moja hadi Poland.

Zelensky kuwajambisha akasema Urusi wameanza kuishambulia Europe. Hiyo taarifa ilikanwa na Viongozi 12 wa Urusi kila mtu anasema sio wao.. Hahaaaa... Walijua ukishambulia Nchi yoyote ya NATO, wote wanaungana kukupiga. So Urusi walijua wamefanyiwa figisu. Walilialia sana
 
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…