Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jamani huko kichapo kikali mapaka wamekimbia kambi na kuacha siraha duu Ukrein imeniaibisha.
 
Video hiyo wamekimbia bila kupambana.
 

Attachments

  • 5316181-880126c2c8be3c78399f4440725d8e67.mp4
    7.4 MB
Jawabu lililojitosheleza hilo. Kwa mantiki hiyo mtu asishangilie sana kuokota hivyo vilivyoachwa/Telekezwa. Wenyenavyo watakuja au watarudi kuchukua mali zao. 😳
Kukimbia vitani ni jambo la kawaida sana na ndiyo maana vita imegawanywa kwenye mapigano (Battle)ambapo ili ushinde vita ni lazima ushinde mapigano mengi ama umlazimishe adui yako akimbie mapigano.

Lakini pia huwezi kuweka mtego ukikomaa tu kupigana wakati unaporomoshewa makombora. Hizo silaha zimekutwa kwa kuwa haikuwa pigano la ana kwa ana!!
 
Video hiyo wamekimbia bila kupambana.
1. Cheap propaganda. Hizi ni picha za mwaka jana Feb 2022 mwanzoni mwa vita ndo unaleta leo.

2. Tuambie kuwa hapo ni wapi kama siyo Kherson kipìndi Russia wameiteka Kherson. Hata tukikuuliza eneo gani huwezi kututajia. Hujui kuwa technology imekuwa kubwa watu wana Geo-locate wanajua ni wapi picha hii imechukuliwa.

3. Unalishwa matango pori, unakuja mbio utadhani huu ni uzi wa mapoyoyo. Kajipange upya ndo ulete propaganda
 
Aisee! Kumbe mwamba anatuletea vya 2022? Kwa mantiki hiyo haaminiki tena ni sawa na Putin.
 
njooni kwangu nyinyi nyote mliolemewa na propaganda za marekani na wenzie ulaya nato nami nitawalinda na kuwapumzisha ......mimi PUTIN kiboko ya marekani na ukraini hawatuwezi na kamwe hawatatuweza kivita na tukimaliza ukraini tunaelekea poland
 
Hayo maneno "njooni kwangu nyinyi nyote mliolemewa..." aliyatamka nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…