Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huu ndo mji tulivu wa Kitalii Odessa
Urusi wana wivu, wanachofanya ni kubomo majumba na kuharibu miundombinu halafu wanajiaifu na kushangilia. Haya ni makazi ya watu. Kwanini hawashambulii kambi za jeshi?
Your browser is not able to display this video.
 
Ile cruise missile "X-101" niliyosema imepita kama ndege, ilikuwa inaenda kutua hapa kwenye makazi ya watu
Nia wabomoe hili jengo. Kila majengo mazuri Urusi wanayabomoa. Madaraja, vyanzo vya maji, vyanzo vya umeme. Leo wameenda kuiba chakula kwenye gala la nafaka la Taifa, wakapeleka Urusi. Jana wameiba Matreka ya Wakulima wakubwa mashambani wakapeleka Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Huwa najaribu kuwaza kama Ukraine asingekua anapata misaada mbalimbali ya silaha na majeshi wangekua katika hali gani hadi sasa[emoji848]
 
Hapa ni Kherson, Urusi wanaingia kwenye nyumba za watu, maduka, supermarket na kuiba vyakulana kupeleka kwao Urusi. Wamekuja vitani au wamekuja kuiba? Wanabeba Magari, pikipiki za wananchi
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi wamebeba nafaka zote mkoani Kherson. Kuanzia Ngano na kila kitu. Magari yanapeleka Urusi. Nasikia watawauzia Egypt
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi ni wezi. Na mashabiki wa Urusi wanafurahia wizi










 
Hii foleni unayoiona hapa ni mpakani mwa Poland na Ukraine. Wananchi wa Ukraine wanarudi nyumbani kupiginia nchi yao. Silaha zipo
 
Urusi wameshindwa kuiteka Mariupol. Wameanza kuondoka. Kamanda wa Urusi aliyepo Mariupol anaweza badilishwa. Kaulizwa, ndege imewezaje kuleta silaha kwa Azov na Msiione? Azov wameanza jifunza kutumia Silaha mpya. Jumatatu kitanuka.. Urusi kila siku inapoteza Wanajeshi Mariupol. Miezi miwili imeisha bila kusogea. Kijeshi huwezi kutangaza kuteka sehemu ambayo bado kuna kurushiana risasi. Putin alidanganywa.
 
Azov wanakuja kivingine. Urusi wanatetemeka. Azov wameongezewa Silaha. Na leo Ujerumani inawapelekea Silaha. Huu mtanange si mchezo. Kuanzia Juzi, Urusi imeanza kuwakimbiza wanajeshi wake kwa kuwaondoa Mariupol. Leo wamekufa Warusi zaidi ya 48 Mjini Mariupol. Azov moto wa kuotea mbali. Makomandoo. Azov mmoja ni sawa na Warusi 100.
Your browser is not able to display this video.
 
Pumzika kwa amani Doctor wetu wa Mariupol Tetiana Kushnir. Utakumbukwa daima. Kombora la Urusi limeondoka na roho ya Tetty😭😭. Ni mwanajeshi wa Azov tulimtambua kama Dr Olena.
 
Baada ya siku nane, hatimaye Urusi wamekubali na kutubu kwamba ile Meli aina ya Moskva ilipopigwa kombora 14 April 2022,ni kwamba Mabaharia 28 Walikufa na wengine 27 hawajulikani walipo. Meli inadaiwa ilikuwa na watu 500.
 
Nyenyenyenye Azov wafie kwenye handaki. Leo wamelipua kifaru cha Urusi aina ya T-72B3. Makomando sio sungusungu. Watamaliza mmoja mmoja
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…