Hujiulizi kwanini Urusi kashindwa kuteka Kyiv hadi muda huuHuwa najaribu kuwaza kama Ukraine asingekua anapata misaada mbalimbali ya silaha na majeshi wangekua katika hali gani hadi sasa[emoji848]
Yaani Russia huyu kichwa kigumu Putin atawapoteza, anazani hii vita itaisha kirahisi tu , bado KremlinURUSI: Hifadhi kubwa ya Mafuta ya Bryansk, inawaka moto Muda huu. Bryansk ipo KM 300 kutoka Moscow. Putin atajua hajui
View attachment 2199683View attachment 2199684