Nimeona. Hizi Gepard" anti-aircraft system ni nzuri, ila Ujerumani ina Gepard nzuri zaidi. Hizi zimetengenezwa 1970 japo zimeboreshwa. Sema kuna Helmet 5,000 wametoa, ni moto wa kuotea mbali. Risasi haitoboi. Marekani ndo Wametoa Vifaa vya Kisasa vya 2020.
Ujerumani haiyaki kuingia moja kwa moja kwenye hii vita ili kulinda Uchumi wake. Usiwaamini. Uingereza na US. wanatosha. Sema Ukraine wamekuwa overdosed na zana za kivita ambazo hawajui tumia. So tunategema intake ya kwanza wanajeshu 10,000 wakimaloza watasaidia wenzao. UrS na UK walete wanajeshi wengi wa kufundisha. Mwisho wa siku silaha zinakaa store.. Mfano Jumapili tumepoteza Silaha nyingi Donbas. Ukrainian hawajui jinsi ya kuzitumia. Urusi ilipopiga Ambushi wakaziacha Store. Hasara