figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,401
Hahahaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aina ya vifaru ambavyo Ujerumani inapeleka Ukraine kwa sasa.
Hata kama hakuna mfumo wa ulinzi wa anga kifaru hiki kinaangusha ndege yeyote.
👏👏👏
Bora wafanye hivyo maana wanajeshi wengi wa Ukraine wanauwezo wa kutumia vifaa vya Kisovieti tu.Nimeona. Hizi Gepard" anti-aircraft system ni nzuri, ila Ujerumani ina Gepard nzuri zaidi. Hizi zimetengenezwa 1970 japo zimeboreshwa. Sema kuna Helmet 5,000 wametoa, ni moto wa kuotea mbali. Risasi haitoboi. Marekani ndo Wametoa Vifaa vya Kisasa vya 2020.
Ujerumani haiyaki kuingia moja kwa moja kwenye hii vita ili kulinda Uchumi wake. Usiwaamini. Uingereza na US. wanatosha. Sema Ukraine wamekuwa overdosed na zana za kivita ambazo hawajui tumia. So tunategema intake ya kwanza wanajeshu 10,000 wakimaloza watasaidia wenzao. UrS na UK walete wanajeshi wengi wa kufundisha. Mwisho wa siku silaha zinakaa store.. Mfano Jumapili tumepoteza Silaha nyingi Donbas. Ukrainian hawajui jinsi ya kuzitumia. Urusi ilipopiga Ambushi wakaziacha Store. Hasara