Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hahahaa...
 


Aina ya vifaru ambavyo Ujerumani inapeleka Ukraine kwa sasa.

Hata kama hakuna mfumo wa ulinzi wa anga kifaru hiki kinaangusha ndege yeyote.
👏👏👏
 
Kikosi cha anga cha Ukraine, 80th Air Assault Brigade kimeharibu kifaru cha Urusi aina BTR-80 APC huko Donbas
20220426_200730.jpg
20220426_200727.jpg
20220426_200725.jpg
 


Aina ya vifaru ambavyo Ujerumani inapeleka Ukraine kwa sasa.

Hata kama hakuna mfumo wa ulinzi wa anga kifaru hiki kinaangusha ndege yeyote.
👏👏👏

Nimeona. Hizi Gepard" anti-aircraft system ni nzuri, ila Ujerumani ina Gepard nzuri zaidi. Hizi zimetengenezwa 1970 japo zimeboreshwa. Sema kuna Helmet 5,000 wametoa, ni moto wa kuotea mbali. Risasi haitoboi. Marekani ndo Wametoa Vifaa vya Kisasa vya 2020.

Ujerumani haitaki kuingia moja kwa moja kwenye hii vita ili kulinda Uchumi wake. Usiwaamini. Uingereza na US wanatosha. Sema Ukraine wamekuwa overdosed na zana za kivita ambazo hawajui tumia. So tunategema intake ya kwanza wanajeshi 10,000 wakimaliza watasaidia wenzao. US na UK walete wanajeshi wengi wa kufundisha. Mwisho wa siku silaha zinakaa store.. Mfano Jumapili tumepoteza Silaha nyingi Donbas. Ukrainian hawajui jinsi ya kuzitumia. Urusi ilipopiga Ambushi wakaziacha Store. Hasara
 
Nimeona. Hizi Gepard" anti-aircraft system ni nzuri, ila Ujerumani ina Gepard nzuri zaidi. Hizi zimetengenezwa 1970 japo zimeboreshwa. Sema kuna Helmet 5,000 wametoa, ni moto wa kuotea mbali. Risasi haitoboi. Marekani ndo Wametoa Vifaa vya Kisasa vya 2020.

Ujerumani haiyaki kuingia moja kwa moja kwenye hii vita ili kulinda Uchumi wake. Usiwaamini. Uingereza na US. wanatosha. Sema Ukraine wamekuwa overdosed na zana za kivita ambazo hawajui tumia. So tunategema intake ya kwanza wanajeshu 10,000 wakimaloza watasaidia wenzao. UrS na UK walete wanajeshi wengi wa kufundisha. Mwisho wa siku silaha zinakaa store.. Mfano Jumapili tumepoteza Silaha nyingi Donbas. Ukrainian hawajui jinsi ya kuzitumia. Urusi ilipopiga Ambushi wakaziacha Store. Hasara
Bora wafanye hivyo maana wanajeshi wengi wa Ukraine wanauwezo wa kutumia vifaa vya Kisovieti tu.
 
Urusi wameprlekewa moto, wakatelekeza kifaru chao
 
Ukraine wameteketeza Vifaru vya Urusi aina ya BTR-3 APC
20220427_055919.jpg
20220427_055914.jpg
20220427_055911.jpg

Urusi wamekimbia wakaacha viatu na vyakula mezani..hahahaaa
 
Drone ya Ukraine ilivyo fuatilia kifaru cha Urusi kabla haijakisambaratisha kilipo jificha
 
Russia wanajifanya kutumia Magari ya kiraia ili drone za Ukraine zisitambue. Tukawashitukia
 
Drone ya Ukraine ilivyo chakaza Vifaru vya Urusi japokuwa wwlivificha kwa kuvivalisha majani

Hapa ni Mkoani Zaporizhzhia. Vifaru vilivyo haribiwa ni Viwili aina ya BMP-2 IFV na kingine ni MT-LB
 
Vifaru vya Urusi
 
Kwa jinsi Ujraine wanavyo shambulia kwa akili nyingi, ni uhakika hata Crimea itarudi tu. Urusi walisema Ukraine haona Silaha ya kutua kwenye hiki kisiwa. Sasa mifumo yote imeharibika
5df5eaf049d45019280b2f14f335672f00152798.jpeg
 
Kumekucha Urusi:

Hifadhi nyingine ya mafuta inateketea kwa moto Mkoani Belgorod. Hivi karibuni Waziri wa Ulinzi wa Ukraine aliawaambia Urusi kwwmba nchi Urusi hakuna ulinzi wowote japo wanajiona wana ulinzi.
20220427_123545.jpg
 
ZALA KYB loitering munition ya Urusi imekwenda na maji mkoani Luhansk
20220427_171712.jpg
20220427_171709.jpg


20220427_171706.jpg
 
Back
Top Bottom