Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Habari njema, jeshi la Urusi limeanza kugawanyika. Kuna wanajeshi wanasema Putin anawagombanisha hivyo atoke madarakani. Naamini hawa ndo watamuua Putin. Putin alionywa mapema aachane na hii Vita. Sasa ona NATO washapenya hadi kwake. Hawa wanataka kumuondoa Putin madarakani.

Alama yao ya Vita ni 'L", na Bendera yao ni Blue na Nyeupe. Jina wanalotumia ni LIGION (THE FREEDOM OF RUSSIAN LIGION) Kila siku Wanajeshi wa Urusi wanajiunga na Ligeon. Wamesema Vita ya kumuondoa Putin inaanzia Donbas. Ukraine bado wana wasiwasi nao, hawataki kiwachanganya na Jeshi lao, ila wamewapa majukumu na wakawaonesha waanzie wapi kupambana. Silaha watapewa. Wakipigana kama Wiki mbili kwa mafanikio, tunaweza waamin na kushirikiana nao. Watuoneshe wameua nani kwanza
 
Legion
Your browser is not able to display this video.
 
Legion
Your browser is not able to display this video.
 
Legion
Your browser is not able to display this video.
 
Legion. Warusi kwa Warusi wanapambana. Sisi Ukraine tunawaangalia. Tunawashukuru Legion kwa kuamua kuingilia kati. 🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Hii bendera nu Wapinzani wa Putin walio ndani ya Jeshi. Walikuwa wanawaza watoke vipi. Tunatarajia hii vita ukiendelea mwezi mwingine, nusu ya Wanajeshi wa Urusi watakuwa huku
 
Kama tutafanikiwa kuwagawa, Putin hana chake. Hii Vita itafika Moscow
 
Hili gari la Urusi limejaa Risasi. Limetekwa Mkoani Kharkiv
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B huko Mashariki. Kipo mikononi mwa Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Hiki kifaru cha Urusi, kimelipuka hadi watu wakajiuliza kilibeba nini
Your browser is not able to display this video.
 
Hiki kifaru ndo chaitwa MT-LBu kilichowekewa B-8M1 jet rocket
Your browser is not able to display this video.
 
Legion wameanza kuungwa Mkono. Mijini watu wameanza kuwaunga mkono kwa kupeperusha bendera yao. Hapa ni Cyprus
Your browser is not able to display this video.
 
Haw ni Wamarekani, wamejiunga na Legion
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…