figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,541
Jeshi la Ukraine?Jana Izyum kuna Viongovi wa Juu jeshi la Ukraine wameuawa. Inadaiwa ni kati ya watu 20. Gerasimov kajeruhiwa.
View attachment 2208482View attachment 2208483
Typing error. Hata ukiangalia nguo zao. Ni UrusiJeshi la Ukraine?
habari zote hizi zinatoka ukraine..