figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,561
Wanajeshi gani hawa Wana miili soft hivyo? Inawezekana Urusi inapeleka raia huko Ukraine.Mkoani Donetsk Ukraine, kuna wavamizi wamekufa bila kutarajia. Tumewaita Urusi waje watambue watu wao hawaji. Kuna mmoja alikua hajakata roho akasema wanatokea Siberia Urusi. Kama kuna ndugu wako wa Siberia kapotelea Ukraine, hakiki hapa.
View attachment 2208747View attachment 2208748View attachment 2208749View attachment 2208750