Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kifaru cha Urusi kimepinduka tairi Juu, lakini Ukraine wanaendelea kuwamimimia Risasi. Hii Vita Urusi haitashinda. Tushawafukuza pakubwa
Your browser is not able to display this video.
 
Upo sahihi. Nilichojifunza, Askari wa Uris hawaonei huruma wala hawaumizi kichwa kupambania zana zao za kivita. Wakitekwa kidogo wanatelekeza na kukimbia na V8
 
Haya mambo yanachanganya mkuu figganigga nikiwa hapa napata hope kwamba urusi atarudishwa nyuma nikienda kule uzi mwingine wamejaa warusi wa buza wanasema ukraine inazidi kumegwa sielewi yani.

Halafu mkuu ulisema Azov wakifika kesho jumatatu itakuwa ushindi mkubwa nini tathmini yako mpaka sasa.?
 
Huyu ni Torn Kadyrovets wa Chechen. Walijifanya kuwafuata Azov eti wawakamate kwa Mikono. Askari wa Urusi 6 wamekufa na hao wawili kujeruhiwa. Huyo wa kulia kwenye machela wanadai kafa pia ila sijaona picha yake wala sina uhakika. Hao wengi e wanapiga risasi Hewani ili Azov wasisogee huku wenzao wakitibiwa. Azov ni Shida.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu, mimi sio mchambuzi wa maswala ya Vita. Ila napost kunachoendelea au mafanikio ya Upande wa Ukraine tena Walio Frontline tu. Pia napost pale Urusi wanapopoteza. Sishindanishi majeshi. Hongera kama unapata habari za pande zote.

Ni akili yako sasa kuchanganua. Siwezi nikajua nani kamzidi mwenzie. Azov wameongea na Wanahabari, sijapata muda wa kusikiliza.

Ukweli ni kwamba hii Vita Urusi hashindi. Je, kwa nguvu alizonazo ulitegemea miezi miwili iishe kwa nchi ndogo kama Ukraine? Hapo ndo ujue Urusi si chochote si lolote. Wanapoa na kuharibu majengo na Miundombinu tu
 
Angalia hapa Urusi wanavyokimbizwa na Azov. Azov wangekuwa na Silaha nzito, wangelipua hilo jengo. Wenzao Urusi walikuja kusaidiwa na kifaru
Your browser is not able to display this video.
 
URUSI: Moto unawaka tena Perm.
Your browser is not able to display this video.
 
Ila LEGION wanajitahidi sana. Hapa ni Nchini Urusi mkoan Perm. Angalia Warusi wanavyo tafutana.
Your browser is not able to display this video.
 
Upo sahihi. Nilichojifunza, Askari wa Uris hawaonei huruma wala hawaumizi kichwa kupambania zana zao za kivita. Wakitekwa kidogo wanatelekeza na kukimbia na V8
Kabisa mkuu. Mafunzo yao yana walakini au kukosa uzalendo wamechoshwa na vita. Halafu mzungu aibe sahani,tv chogo na nguo ni jinsi gani wana maisha magumu. Uchumi wao wameulekeza kwenye kujenga jeshi na siyo maisha ya watu.

Afrika huku hawana shida na hivi vitu vidogo vidogo huwa vinafanywa na vikundi vya militia groups na siyo jeshi la nchi. Aibu kwa jeshi lililoko Ulaya kuiba hadi chakula.

Nimelitafakari sana hili mkuu.
 
Kuna hiki kikundi kinamsaisia Urusi kinaitwa Chechen. Hawa ni raia wa Chechnya.Wao wanafanya propaganda na Uongo wa hali ya Juu. Mambo kama haya huwezi yafanya mbele ya Azov, wanakutuo roho. Hapa ni sehemu ambayo haina mapigano, ndo wanafsnya hivi ili wapost Social media. Wanapenda sifa balaa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…