figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,701
UkraineDuuuh R.I.P vipi wakitolewa wanapelekwa upande upi wa warusi au ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UkraineDuuuh R.I.P vipi wakitolewa wanapelekwa upande upi wa warusi au ukraine
Upo sahihi. Nilichojifunza, Askari wa Uris hawaonei huruma wala hawaumizi kichwa kupambania zana zao za kivita. Wakitekwa kidogo wanatelekeza na kukimbia na V8Jeshi la Urusi huwa halithamini wanajeshi wao wakiwa vitani ni kawaida sana kutokuwapatia mahitaji muhimu kama vile vyakula, maji na dawa. Ikitokea wamezingirwa wanawaacha wajifie tu.
Hata kipindi cha WW2 walikuwa hivyo hivyo waliua wanajeshi wengi sana kwa uzembe wa kijinga. Walivyofika kwenye nchi ya Ujerumani waliiba hadi nguo, viatu na vyombo vya ndani.Mjerumani alikuwa hawezi kula vyakula vya Soviet Union, wao ndio walikuwa wanavitafuta kwa udi na uvumba.
Ninadhani hawana discipline au mafunzo yao yana walakini.Kwa ubakaji wako vizuri. Hata hapo Ukraine wameshapaka wanawake wengi tu.
Mkuu, mimi sio mchambuzi wa maswala ya Vita. Ila napost kunachoendelea au mafanikio ya Upande wa Ukraine tena Walio Frontline tu. Pia napost pale Urusi wanapopoteza. Sishindanishi majeshi. Hongera kama unapata habari za pande zote.Haya mambo yanachanganya mkuu figganigga nikiwa hapa napata hope kwamba urusi atarudishwa nyuma nikienda kule uzi mwingine wamejaa warusi wa buza wanasema ukraine inazidi kumegwa sielewi yani.
Halafu mkuu ulisema Azov wakifika kesho jumatatu itakuwa ushindi mkubwa nini tathmini yako mpaka sasa.?
Mbona kweli nini? Chanzo changu cha habari ni Google na Marafiki. Usitake kunijua.Mbona kweli ...chanzo chako Cha habari ni kipi? Au uko eneo la tukio?
Kabisa mkuu. Mafunzo yao yana walakini au kukosa uzalendo wamechoshwa na vita. Halafu mzungu aibe sahani,tv chogo na nguo ni jinsi gani wana maisha magumu. Uchumi wao wameulekeza kwenye kujenga jeshi na siyo maisha ya watu.Upo sahihi. Nilichojifunza, Askari wa Uris hawaonei huruma wala hawaumizi kichwa kupambania zana zao za kivita. Wakitekwa kidogo wanatelekeza na kukimbia na V8
Naskia wali karudi kwao canadaWaziri mkuu wa Canada Justin Trudeau yupo Irpin Ukraine
View attachment 2217004