kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Nakubali sana information zako mkuu. Piga warusi hao safari hii Putin kaingia cha kike.Mkuu hii Battalion ya Urusi ilikuwa na Wanajeshi na Wafanyakazi 1,100. Wapo waliokufa na kutekwa. Wachache sana waliogelea kurudi walipotoka kwani hata walipofika ng'ambo Sniper walifanya kazi yao. Ukiacha Vifaru 35, kuna Malory ya Mizigo 50, yameteketea mengine. Pia kuna Magari na Vifaru havijateketea bali vimetelekezwa, vitatumiwa na Ukraine
Nusu ya hii Battalion wamekufa. Wengine wametekwa. Ukraine imeshinikiza wabadilishane kama PoW(prisoners of War) Wanataka Urusi iruhusu Azov waliojeruhiwa kule Azovstal nao waachie mateka. Kwa ratio ya 1:1. Wakiachia Azov mmoja nao wanaachia Mrusi mmoja.
Wengine wameliwa na mamba.
Na bado kwa hii supply ya siraha iliyofanywa na USA nadhani matokeo tutaanza kuona siku sio nyingi.