Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu hii Battalion ya Urusi ilikuwa na Wanajeshi na Wafanyakazi 1,100. Wapo waliokufa na kutekwa. Wachache sana waliogelea kurudi walipotoka kwani hata walipofika ng'ambo Sniper walifanya kazi yao. Ukiacha Vifaru 35, kuna Malory ya Mizigo 50, yameteketea mengine. Pia kuna Magari na Vifaru havijateketea bali vimetelekezwa, vitatumiwa na Ukraine

Nusu ya hii Battalion wamekufa. Wengine wametekwa. Ukraine imeshinikiza wabadilishane kama PoW(prisoners of War) Wanataka Urusi iruhusu Azov waliojeruhiwa kule Azovstal nao waachie mateka. Kwa ratio ya 1:1. Wakiachia Azov mmoja nao wanaachia Mrusi mmoja.

Wengine wameliwa na mamba.
Nakubali sana information zako mkuu. Piga warusi hao safari hii Putin kaingia cha kike.
Na bado kwa hii supply ya siraha iliyofanywa na USA nadhani matokeo tutaanza kuona siku sio nyingi.
 
Nakubali sana information zako mkuu. Piga warusi hao safari hii Putin kaingia cha kike.
Na bado kwa hii supply ya siraha iliyofanywa na USA nadhani matokeo tutaanza kuona siku sio nyingi.
Kuna baadhi ya Silaha hazijaanza kutumika kwasababu bado wanafundishwa Jinsi ya Kuzitumia. Ni za kisasa zaidi na Teknolojia ya hali ya juu. Inadaiwa ndo Mtego wa Kwanza Ukraine wametega Ukaua sana tangu Vita ianze
 
Du!Ukraine wamefanya kazi kubwa hapo,Russia wamepoteza mno
Mkuu, samahani, kulingana na ripoti ya Jeshi/ Kikosi kilichohusika kwenye Shambulizi hili. Mkuu wa Intelejensia wa Kikosi cha 17th tank brigade ambacho ndo waliweka Mtego, Wamesema Vifaru vya Urusi vilivyoteketea au kutelekezwa ni 75. Na wanajeshi waliotekwa au Kuuliwa ni 1000. Hawajazungumiza Waliopona. Naweka hapa chini Video
 
Ukizoom utaweza kuona Urusi wanavyo tafutana. Hii ni kazi ya Kikosi cha 17th tank brigade. Askari wa Ardhini wa Ukraine. Picha imechukuliwa kwa Drone.
 
Angalia hapa Sniper Wali akisifia Bunduki yake. Anadai ni ya Kisasa Zaidi
 
Mwanamke wa Kwanza Navigator wa Jeshi la Ukraine
20220513_180644.jpg
 
Mkuu, samahani, kulingana na ripoti ya Jeshi/ Kikosi kilichohusika kwenye Shambulizi hili. Mkuu wa Intelejensia wa Kikosi cha 17th tank brigade ambacho ndo waliweka Mtego, Wamesema Vifaru vya Urusi vilivyoteketea au kutelekezwa ni 75. Na wanajeshi waliotekwa au Kuuliwa ni 1000. Hawajazungumiza Waliopona. Naweka hapa chini Video
Asante Mkuu,nimeisikia hii taarifa jioni hii kwenye BBC,ni pigo mno kwa Russia
 
Ulishawahi kuwaona Azov(A30B)? Wanakuambia Hawajisalimishi wala kukimbia, wasema Watafia Azovstal. Wanasema hata Wakifa wao, hii Vita Ukraine watashinda. Na Mrusi hataitawala Mariupol.
20220513_205910.jpg
20220513_205836.jpg
20220513_205713.jpg
20220513_205716.jpg
20220513_205718.jpg
20220513_205721.jpg
20220513_205851.jpg
 
Angalia drone ya Ukriane ilichokifanya Kherson. Kwa Teknolojia ya sasa, Urusi hawana pa Kujificha
 
Sasa huyu Mkulima hiki kifaru atakitumia wapi? Sidhani kama kinafaa mambo ya Kilimo. Hiki ni kifaru cha Urusi aina ya TOS-1A thermobaric MLRS BM-1 launcher. MLRS maana yake ni Multiple Launch Rocket System. Bonyeza hapo[ ] kuzoom

Ipo Full loaded🤣🤣
20220514_075019.png
 
Hii ni TOS-1A MLRS ya Urusi Nyingine.
 
Top 5 most powerful militaries in the world as at 24th Feb 2022
1. US
2. Russia
3. China
4. India
5. France

Top 5 most powerful militaries in the world as at 12th May 2022
1. US
2. China
3. India
4. France
5. Ukrainian farmers
 
Back
Top Bottom