figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,941
Hapana Mkuu. Kumbuka Russia ni sawa na Kichwa cha mwenda wazimu; kila mmoja atakaye ndipo hapo hujifunzia kunyoa. 😳Daaah! Russia imeniabisha saana.
Bro; Wajifiche wapi sasa? Hapo ndo wamefikia e.t.c. yao - yaani end of thinking capacity. Zaidi ya hapo ni mtu anakuwa kichaa, chizi au mwehu/kuchanganyikiwa akili. 🤣 🤣Hivi kwanini Warusi wanaamini kujificha vichakani inasaidia? Au hawajui kuna Teknolojia?
View attachment 2226284
Bado Kupandisha Bendera na kufanya maandalizi ya Adhimisho la siku ya Ukombozi kamili.......ikiwa ni pamoja na kujipongeza. Mungu awabariki sana Mashujaa wetu.Tumewafurumusha hadi tumefika mpakani mwa Ukraine na Urusi. Kuna nini tena? 🤣🤣
View attachment 2226292
VivaTumewafurumusha hadi tumefika mpakani mwa Ukraine na Urusi. Kuna nini tena? [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2226292